Je, ni kwanini kila mwenye mamlaka na ushawishi huko Guinea ya Ikweta anaitwa Nguema?

Hivi Nguema ni jina au title? Msaada tafadhali..
Ni jina la jamii fulani. Fortunately, jamii hiyo imekuwa na ushawishi mkubwa kiasi cha members wake wengi kukamata nafasi nyingi za kisiasa, kiuchumi, kitaaluma, kijeshi, n.k. hence random selection probability ya ku-pick Nguema ni kubwa sana.
 
Sasa mbona kuna viashiria vya ukabila humo, au wanaoitwa Ngurma ni asilimia ngapi ya wananchi wote?
 
Kauliza mbona wenye madaraka wanaitwa Nguema? Kwa hiyo wenye madaraka wote wanatoka ukoo huo?
Yawezekana huu uko ulipenya serikalini na kupata mamlaka makubwa tangu enzi ya Dikteta Mathias Nguema aliyeingoza E Guinea kama mali yake binafsi miaka ya 70's
 
Back
Top Bottom