Trust None
JF-Expert Member
- Feb 12, 2018
- 1,260
- 4,419
Habari na picha ...hivi Jo unayajua mamilion yalivyo lakini?Rais Magufuli ana majukumu mengi ya kitaifa wadhamini wanamfuata wenyewe kwa mamilioni pale Chamwino wakitokea mikoa tofauti tofauti.
Lisu anauza sura wengi walikuwa hawamjui!
Uwezo mdogo,JK hakuwa na hayo majukumu? Je Baada ya kuchukua form yule mtu wako pale Dodoma alifanya nini?Rais Magufuli ana majukumu mengi ya kitaifa wadhamini wanamfuata wenyewe kwa mamilioni pale Chamwino wakitokea mikoa tofauti tofauti.
Lisu anauza sura wengi walikuwa hawamjui!
Mkuu watu 200 unawapataje kwa mfano bila mkutano?Magu nae alifanya baada ya kuchukua form pale Dodoma but also this has been a practice kila mwaka hata 2015 wagombea walifanya hivyoMambo yamepamba moto, wakti Lissu anazunguka mikoani kutafuta wadhamini, Rais Magufuli anawatuma makada wa CCM kutembeza fomu kimya kimya ili zijazwe na wadhamini katika mikoa husika.
Je, huu ni mkakati wa kumkata Lissu kwa madai kuwa alianza kampeni kabla kuteuliwa na NEC?
Ndo maana alishindwaMagufuli hata mwaka 2015. Alizunguka nchi nzima kusaka wazamini kimya kimya..
Kina membe na lowassa walijaza sana watu toka enzi za kura za maoni
Ndo maana alishindwa
Anaogopa aibu,Magu huyu wa 2020 ni tofauti kabisa na Magu wa 2015, Magu huyu wa 2020 bila police na vyombo vingine vya dola kumsaidia wadhamini 200 kila mkoa atawapata wapi? Hakuna wa kujitokeza kwa hiari yakeMambo yamepamba moto, wakti Lissu anazunguka mikoani kutafuta wadhamini, Rais Magufuli anawatuma makada wa CCM kutembeza fomu kimya kimya ili zijazwe na wadhamini katika mikoa husika.
Je, huu ni mkakati wa kumkata Lissu kwa madai kuwa alianza kampeni kabla kuteuliwa na NEC?
Unajua kwa nini matokeo ya urais Tanzania hayahojiwi kwenye mahakama yoyote? Lengo ni kuongozwa na watu waliofeliAlishindwaje wakati ndio Rais
Magu anatafutwa na wadhamini. Yeye hatafuti kama LisuMambo yamepamba moto, wakti Lissu anazunguka mikoani kutafuta wadhamini, Rais Magufuli anawatuma makada wa CCM kutembeza fomu kimya kimya ili zijazwe na wadhamini katika mikoa husika.
Je, huu ni mkakati wa kumkata Lissu kwa madai kuwa alianza kampeni kabla kuteuliwa na NEC?
Rais Magufuli ana majukumu mengi ya kitaifa wadhamini wanamfuata wenyewe kwa mamilioni pale Chamwino wakitokea mikoa tofauti tofauti.
Lisu anauza sura wengi walikuwa hawamjui!
Magu anatafutwa na wadhamini. Yeye hatafuti kama Lisu
Mm sipo tayari kupigwa risasi! Usisemqe wote, sema mimiHakuna cha Kuanza kampeni au nini!!
Magufuli baada ya kuchukua fomu ya NEC alikwenda White House Dodoma, akaongea sera zake na akasema Sera zake zijazo!! Uzuri ilirushwa Live na kila mtu aliona, Kwenye page ya Magufuli facebook anapost kila leo, Magufuli tano tena, anapost Picha za miradi zenye hashtag magufuli tano tena. Sasa kama ni kuanza kampeni wote Magufuli na Lissu watakuwa wameanza kampeni na kama kukatwa wanatakiwa wakatwe wote.
Watu tunakusanya ushahidi wa kila kitu alafu tunawaangalia tu NEC.
Wajaribu kumkata Magufuli. Kama wamechoka na amani ya Tanzania waseme tu maana sasa ni baaasi!! Tuko tayari watupige risasi wote waone kama watapona na Mahakama ya Kimataifa
johnthebaptist ameamua kujitoa fahamu kwa mapenzi ya chama.Habari na picha ...hivi Jo unayajua mamilion yalivyo lakini?
Bwashee watu wengi wanaoenda kwa Lisu ni akina " Thomaso"......wanakwenda kujiridhisha kama " Ni Yeye " kweli?Inauma na inaudhi, mtu ambaye hajajenga flyover, kununua ndege wala kujenga bwawa kukubalika hivyo. Tena hayo yanafanyika huku nchi ikiwa imeshurutishwa kuamini kuwa mtu huyo ni msaliti. Hali hiyo inaonyesha wananchi bado wanataka mabadiliko, na hawajayapata, bali miradi inayofanyika kwa kodi za wananchi ndio inatumika kulazimisha nchi irudi kuwa ya chama kimoja cha watoa rushwa. Mbinu pekee ni ushindi kama ule wa SM, maana wananchi hawaonekani kusujudia vitu.