Uchaguzi 2020 Je, ni kwanini Magufuli anatafuta wadhamini kimya kimya?

Ndo mumeona hili ndo tundu la kufugia hao ndege.
 
Kwa hiyo unataka kusema kuwa Kama MTU hana Uteuzi au madaraka yenye nafasi kubwa ya kula hizo kodi kwa mishahara minono ndani na nje ya CCM asimpigie kura ??

Duuuh, sijui chuki kama zile za DC wa Dodoma na Musiba zikipewa miaka mitano tena nchi hii itakuaje?
Kuna watu watakua wanatembea na na vitu vyenye makali kuwakata wale wasiowataka hadharani na kuondoka zao bila hata kuulizwa mbona mnawakatakata wenzenu?

Tumuombe Mungu watakaoingia madarakani wachague watu wenye busara zaidi na utu kuliko . Vijana wapewe madaraka madogo madogo sio madaraka makubwa ya kuwatia watu ndani na kuamrisha vyombo vya dola.

Amani ni tunda la haki.
 

Ulishawai kiona wapi Rais anatafuta wadhamini? Wadhanini ndio huwa wanamtafuta Rais
 
Anaogopa aibu,Magu huyu wa 2020 ni tofauti kabisa na Magu wa 2015, Magu huyu wa 2020 bila police na vyombo vingine vya dola kumsaidia wadhamini 200 kila mkoa atawapata wapi? Hakuna wa kujitokeza kwa hiari yake
Hizi bangi za kuvuta baada ya kula ukoko wa mama lishe ni tabu tupu
 
Umejutahidi kujifanya na wewe ni jasiri
 
Kapigwe risasi ufe mwenyewe,alafu tuone wakati hiyo mahakama ya kimataifa inafanya kazi, wewe utakuwa unafaidika na nini kaburini.
 
Aibu mwenzie anapata nyomi ya watu yeye hapati, Mpaka afanye maigizo ya ya kununua jogoo ,mahindi ,kahawa ,samaki saa ngapi.
 
sema uko tayri usinichange mm na kibarskawenu. yaan mtu anatetea wazungu tuu kila hotuba unasem
 
Hapana kila mgombea anatumia mbinu na mtandao wake kutafuata wadhamini. Anaye amua kuwafuata huko physically au anatumia mtandao wake mpana ni uamuzi wa kila mmoja na havina uhusiano na kampeni au kupigwa panga na NEC muda muafaka ukifika. Msiogope nyie songeni mbele tu hadi mtakapo kutana na Sheria ya Uchaguzi hapo 26/08/2020. Vinginevyo ALL THE BEST.
 
Kwa zile spana za Lisu lazima mzee nati zimemkaza ile mbaya anaona aibu hata kutoka
 
Magufuli hanaga kelele, hata 2015 alifanya mambo yake kimyakimya hivyo hivyo.
Yeye mtamsikia kwenye utendaji tuu
 
Bwashee watu wengi wanaoenda kwa Lisu ni akina " Thomaso"......wanakwenda kujiridhisha kama " Ni Yeye " kweli?
CCM wamekuwa dhaifu sana, JPM na genge lake wameona wajikite kwenye UHUNI na UHALIFU tu sasa. Hoja zimewaishia ni kutapatapata tu.
 
Hahaha naye anatafuta kudhaminiwa?! Mwambieni HAKUNA DHAMANA.
 
Wakifanya hivyo utakuwa ni uhuni ..... 2015 wote pamoja na yeye walizunguka kutafuta wadhamini kwa mtindo huo huo.
 
Season
 
Kajitangaza miaka mitano,ksona hana hoja ndanibya wiki moja tu.
 
Rais Magufuli ana majukumu mengi ya kitaifa wadhamini wanamfuata wenyewe kwa mamilioni pale Chamwino wakitokea mikoa tofauti tofauti.

Lisu anauza sura wengi walikuwa hawamjui!
Kila mtu ana staili yake ya kutafuta wadhamini, au siyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…