Je, ni kwanini Peugeot 404 na 504 ziliitwa 'nguruwe'?

Tulikuwa tunaifananisha na jeans, itia rangi inakuwa mpya unarudi barabaran.
 
Hii ni gari ya Mfaransa, mbona hata miaka ya 90 zilikuwepo.

Mzee wangu alikuwa anaita ''Forofoo'' yaani 404.
 
Kwa sababu zina roho ngumu na ni ngumu kuvumilia mkiki mkiki ma imara sana na likivyotengenezwa hata kuliangusha ni vigumu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…