FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Nilitegemea binadamu baada ya kurekodi matukio ya maisha yake kwa muda wa miezi kadhaa basi ubongo wake ujae, lakini cha ajabu na cha kushangaza, mtu anafika hadi miaka 100 ila anakumbuka matukio yote ya utotoni.
Sasa naomba kujua, ni mechanism ipi inayotumika kwenye ubungi kiasi unashindwa kujaa, hii inaweza kutusaidia kuunda Hard Disk Drives zisizo jaa hata uweke series mwaka mzima.
Sasa naomba kujua, ni mechanism ipi inayotumika kwenye ubungi kiasi unashindwa kujaa, hii inaweza kutusaidia kuunda Hard Disk Drives zisizo jaa hata uweke series mwaka mzima.