FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Ukifuta material kwenye flash disk hautaweza ku recover zoteNikikwambia hili, utashangaa sana, kwamba:-
Flashdisk pia haijai....
Na ndio maana, baada ya kufuta files kwenye flash (permanent delete), unaweza ukazi recover tena!
Je zinatoka wapi na wakati ulizifuta mazima?
....
Googol ni namba inayoanzia na moja na kufuatia na 0 mia moja.
Waanzilishi waliiita Google kimakosa badala ya Googol.
Lengo lilikuwa ni kutengeneza search engine itakayoweza kusearch na kuleta majibu kwa idadi hiyo (mengi sana), na kwa kweli wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa sana.
Hivyo mkuu nakushauri, nenda ka google swali lako, na utapata majibu kutoka kwa wabobezi.
[emoji16]
muongoNa ndio maana, baada ya kufuta files kwenye flash (permanent delete), unaweza ukazi recover tena!
Well, ukifuta kwa mara ya kwanza kunabaki na mirror image ya kile ulichofuta , hivyo unaweza kurecover files, lakini ukisha-overwrite juu yake, huwezi kurecover tenaNikikwambia hili, utashangaa sana, kwamba:-
Flashdisk pia haijai....
Na ndio maana, baada ya kufuta files kwenye flash (permanent delete), unaweza ukazi recover tena!
Je zinatoka wapi na wakati ulizifuta mazima?
....
Googol ni namba inayoanzia na moja na kufuatia na 0 mia moja.
Waanzilishi waliiita Google kimakosa badala ya Googol.
Lengo lilikuwa ni kutengeneza search engine itakayoweza kusearch na kuleta majibu kwa idadi hiyo (mengi sana), na kwa kweli wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa sana.
Hivyo mkuu nakushauri, nenda ka google swali lako, na utapata majibu kutoka kwa wabobezi.
[emoji16]
Hahaha, sasa ndio tunataka hivi vitu vya kijinga viwe kama ubongo..., ubongo unaweza weza vipi kiasi Flash disk ishindwe?!Acha kufananisha ubongo na vitu vya kijinga