Je, ni kwanini ukikata kona kulia gari inaenda kulia na si kushoto?

Je, ni kwanini ukikata kona kulia gari inaenda kulia na si kushoto?

Wanaondesha boti ndogo za majini wanaweza kukujibu,wao wanapoelekezea mashine kulia boat inaenda kushoto
 
Ulichokiuliza kina apply kwenye haka kamtambo kwa kuwa matairi yake ya nyuma ndiyo yanayokata kona!!

Ukiwa unaenda mbele, ukikata kulia matairi ya nyuma yanaelekea kushoto..
Screenshot_2022-11-06-08-59-46-1.jpg
 
Kuna rational gani katika hili, kwamba ukirudi reverse na ukakata kulia gari inaenda kushoto, why?

Inawezekana sielewi...

Wakati reverse ukinyonga kwenda kulia gari inaelekea kushoto??
 
Back
Top Bottom