FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Umekula bwasheee? Yaani hapo unaweza hata kuanza kuwaza kwa nini unakula chakula kitamu ukienda choo inatoka harufu mbaya....ukiwa na usingizi mzito au una issue nzito nzito huwezi waza hayo mambo.Kuna rational gani katika hili, kwamba ukirudi reverse na ukakata kulia gari inaenda kushoto, why?
hahahaWakati wenzako wanasoma physics weww ulikuwa unawinda ngedere
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Gari gani ukikata kulia inaenda kushoto wakati wa reverse?Kuna rational gani katika hili, kwamba ukirudi reverse na ukakata kulia gari inaenda kushoto, why?
Ukiwa unarudi reverse ukakata kulia gari haiendi kushoto, matairi ndiyo yanaelekea kushoto ili gari iende kulia!!Kuna rational gani katika hili, kwamba ukirudi reverse na ukakata kulia gari inaenda kushoto, why?
Wakati wenzako wanasoma physics weww ulikuwa unawinda ngedere
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Kuna rational gani katika hili, kwamba ukirudi reverse na ukakata kulia gari inaenda kushoto, why?
[emoji23][emoji23]Wakati wenzako wanasoma physics weww ulikuwa unawinda ngedere
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app