Je, ni kwanini VETA hawatoi mafunzo ya ku-repair battery za magari ili tuokoe mabilioni?

Je, ni kwanini VETA hawatoi mafunzo ya ku-repair battery za magari ili tuokoe mabilioni?

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
38,920
Reaction score
44,970
Kuna mbinu nzuri na rahisi inaweza kutumika, hii itaokoa mabilioni tunayotumia kuagiza battery nje ya nchi, pia itatoa ajira maelfu kwa maelfu.

Akina Binslum wanaweza kuzimia kwa pressure baada ya kutizama hii video hapo chini.

Mbali na ajira za vijana mtaani, pia tunahitaji kiwanda ili wataalam wetu wapate kazi,kodi ipatikane na kuokoa mamilioni kuagiza vitu tunavyoweza kutengeneza wenyewe, mahitaji ya Battery ni makubwa sana sijui kwanini hatuna kiwanda au vipo ?
 
Mafundi wetu mitaani mbona wamekuwa wakifanya hii,kitambo tu
Lakini kwa betri zinazotumis maji
Kwa ku repair seli ambazo zimekufa/betri zinazo chemsha
Ila kwa betri za dry hawawezi kufanya

Ova
 
Mbali na ajira za vijana mtaani, pia tunahitaji kiwanda ili wataalam wetu wapate kazi,kodi ipatikane na kuokoa mamilioni kuagiza vitu tunavyoweza kutengeneza wenyewe, mahitaji ya Battery ni makubwa sana sijui kwanini hatuna kiwanda au vipo ?
Hatuna hata cha kwenye ndoto tu, hakipo. Na tukithubutu kujaribu kuanzisha, waagiza wakubwa hasa wahindi na waarabu koko hufanya hujuma na kuvuruga juhudi zozote vile, kwa sasa tuanze kufanya repair tu, vijana wapate ajira mtaani
 
Back
Top Bottom