FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Hii elimu ikitolewa VETA tutapunguza sana tatizo la ukosefu wa ajira
Hili nalo wakalitazame"ndugu mwananchi tunashukuru kwa ushauri wako nalo hilo tutalifanyia kazi"Bibi teuzi na tozo
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hatuna hata cha kwenye ndoto tu, hakipo. Na tukithubutu kujaribu kuanzisha, waagiza wakubwa hasa wahindi na waarabu koko hufanya hujuma na kuvuruga juhudi zozote vile, kwa sasa tuanze kufanya repair tu, vijana wapate ajira mtaaniMbali na ajira za vijana mtaani, pia tunahitaji kiwanda ili wataalam wetu wapate kazi,kodi ipatikane na kuokoa mamilioni kuagiza vitu tunavyoweza kutengeneza wenyewe, mahitaji ya Battery ni makubwa sana sijui kwanini hatuna kiwanda au vipo ?
Tuanze kutoa huu ujuzi VETA sasa tuoneWafanya biashara wakubwa hawawezi kukubali...
Si hawatouza betri zaoWafanya biashara wakubwa hawawezi kukubali...
Kuna mtu betri za kutumia maji,achana na dry cell zileTuanze kutoa huu ujuzi VETA sasa tuone
Hizo hizo za maji, tuanze na hizo kwanzaKuna mtu betri za kutumia maji,achana na dry cell zile
Alikuwa anazirekebisha vzr tu
Ova