Je, ni kwanini wanawake wa ki-Afrika huwa na maumbo ya kuvutia sana?

Exorcist

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2014
Posts
1,235
Reaction score
1,268
Hii ni tofauti na watu kama waChina, waJapan, wahindi, Waarabu nk., hata wale wa Brazil, ulaya na marekani ni mbegu ya Afrika iliyopelekwa utumwani. Nini siri ya neema hii?
Video inafafanua zaidi.
 
Wale wadada/wanawake unakuta tumbo ndo kubwa kuliko tako unawazungumziaje
Wale wanajua sana kulea watoto,angalia familia nyingi zenye wanawake wenye vitambi zilivyo bora
 
Ata utamu wa kiafrika watam saana kuliko wa mambele (wabarid)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…