Je, ni kwanini Zanzibar haina sarafu yake yenyewe?

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
38,920
Reaction score
44,970
Najiuliza, kama himaya fulani inajiita nchi, ina Rais, nk.

Ni kwanini haina sarafu yake?
 
Ni kwanini zanzibar wana mamlaka ya mapato?
Zanzibar hawana mamlaka ya mapato wana Revenue board inadeal na tozo zingine. TRA ipo kule inadeal na hiyo no.10 na ndiko alikochomolewa Yusuph na kuletwa kuwa CG wa TRA.
 
Zanzibar hawana mamlaka ya mapato wana Revenue board inadeal na tozo zingine. TRA ipo kule inadeal na hiyo no.10 na ndiko alikochomolewa Yusuph na kuletwa kuwa CG wa TRA.
Ni kwanini Zanzibar wana katiba yao? Kwanini ajira za Zanzibar zinahitaji mtu awe Mzanzibari na sio MTanzania?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…