ila wakuu hiyo sehemu ya nyuma iliyojazia wanaume wote wanaipenda,maana ndo asili yetu waafrika wazungu wakaumbiwa slim figure,sasa hivi wamegundua ni attractive point wanajidunga masindano, huku bwana msichana akipita kwa mbele watu hawatoi salamu ila akishawapa mgongo kama kajaliwa salamu na maombi ya kusindikizwa kwa sana, ya wastani ndo mazuri zaidi kwa kuyaangalia tu siyo vyote vipendezavyo nafsi lazima uvitumie, ila inakua inaleta hamasa fulani kwenye lib**neke, na hata kwenye nguo mazee yanafit kwa sana, ila wakuu msiniweke kwenye hiyo list hapo juu chondechonde