Ahsante mkuu. Nitalifanyia kazi mkuu.Habari hapa kuna mada 2 alafu zimechanganywa , kiufupi MWANAMKE ulie nae hana mikosi,isipokuwa ww umefanyiwa mambo ya kichawi ili ufilisike uwachane na mkeo,cha kufanya pambana kurudisha nyota yako mambo yako yatakaa sawa, kuhusu ukoo wa nane hiyo ni kweli watu wanawake au wanaume wenye mikosi yaani ukishirikiana nao kila kitu chako kinapote hata kama kazi unaweza ukasimishwa, kwa hiyo mkeo hana tatizo ww ndio umefungwa jifungue sasa
Yapo sana tu mkuu. Usiombe ukapigwa uchawi wa mikosi/nuksi.Kumbe haya mambo yapo, Kuna kijana mmoja kila akipanga mambo yake yakae kwa namna anavyotaka yanagonga mwamba, Nashindwa kuelewa anafeli kwenye mikakati yake au nae ndio wale wenye mikosi.?..!
Ndio maana yule amekuwa mwanamke mvumilivu kuliko watanzania wotee amekaa ktk miaka kibao hakuna malalamiko lkn cc tunamlaumu huyu mzee mpaka pasi embu tuwe na moyo WA yule mama tuache lawama siziso na msingiHata vidume wana gundu sana. Angalia mume wa janet Magu. Sijataja Rais,
Tangu jamaa ni waziri lkn mama kachokaaa hakuwa na usafiri wala ghorofa. Shamba la maana hana mpaka leo.
Hahaha kaenda kwa yule Mzee wa Maguzoni ilitakiwa aende Pangani au Handeni, Lushoto na yenyewe si pabaya sana.....Waganga Wa Tanga wanawaza mapenzi tu.. Hebu Jaribu Kigoma na Sumbawanga
Hata vidume wana gundu sana. Angalia mume wa janet Magu. Sijataja Rais,
Tangu jamaa ni waziri lkn mama kachokaaa hakuwa na usafiri wala ghorofa. Shamba la maana hana mpaka leo.
mchawi mwingine huyu hapa. Mungu yupi? Aliye mzaa yesu mzungu au...Achana na waganga, Mungu ndo jibu kama unayo Imani ktk yeye
ki vipi mkuu sijakuelewa hapa. Unameza ukisha lamba babaUkioa au kuolewa unalamba mchanga