sawariya
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 382
- 350
Salaam,
Naomba kwa yeyote mwenye kufahamu suala la biashara ya usafirishiji abiria wa kutoka Dar kwenda Zanzibar ipoje?
Ni mtu yeyote anaruhusiwa kuifanya hii biashara? Maana kuna tetesi kuwa biashara ya usafirishaji wa abiria Dar to Zanzibar wanaoruhusiwa ni watu wa visiwani tu, wabara hawaruhusiwi kuigusa hii biashara. Ukweli ukoje hapo?
Nawasilisha
Sent using Jamii Forums mobile app