Ndio kama anavyofanya bakhresaYani kusafirisha kwa boti kama bakhresa au kusafirisha vipi!
Sio mzanzibari tu bali ni MPEMBA
Mtu yeyote anaruhusiwa, ila boti nyingi zifanyazo kazi hizo zimesajiliwa upande wa Zanzibar ambapo kuna Open registry hii inamruhusu mtu yeyote kusajili meli hata kama si mzawa na haina masharti magumu kama closed registration tuliyonayo huku bara ambayo kuna kigezo cha kuwa mzawa au ukifanya sharing na watu wa nje lazima uwe na asilimia 50 ya share za umiliki wa kampuni.Salaam,
Naomba kwa yeyote mwenye kufahamu suala la biashara ya usafirishiji abiria wa kutoka Dar kwenda Zanzibar ipoje?
Ni mtu yeyote anaruhusiwa kuifanya hii biashara? Maana kuna tetesi kuwa biashara ya usafirishaji wa abiria Dar to Zanzibar wanaoruhusiwa ni watu wa visiwani tu, wabara hawaruhusiwi kuigusa hii biashara. Ukweli ukoje hapo?
Nawasilisha
Sent using Jamii Forums mobile app