Gazeti moja leo limemnukuu gavana wa benki kuu [BOT] Beno Ndullu akisema kuwa kwavile mabenki ya biashara ndio yanayoshuhulika na upelekaji wa fedha nje ya nchi, benki kuu haina uwezo wa kuzuia utoroshaji wa fedha za kigeni kwenda nje ya nchi!!
Nijuavyo mimi mabenki yote ya biashara husimamiwa na BOT katika shuhuri zake zote zikiwemo zile za kupeleka fedha nje ya nchi; hivyo ni wao wanaoweza kuweka utaratibu wa jinsi ya kuepusha nchi kutokana na janga hili kwa kuweka utaratibu kisheria ambao utazuia utoroshaji wa fedha za kigeni kwenda nje ya nchi!
Kama wasimamizi wa Bureau de Change na mabenki ya biashara ni jukumu lao kuhakikisha kuwa taratibu za kuzuia utoroshaji wa fedha za kigeni zinafuatwa na vyombo hivi; laxity ya bank supervision directotate ya BOT ndio inayosababisha utoroshaji wa fedha nje ya nchi!!
Kukili kwa gavana kuwa hawana nguvu za kuzuia uhalifu huu ni kukili kuwa hajui wajibu wake na kuwa hafai kuwa hapo alipo!