je, ni kweli Bozi Boziana yuko Dsm?

je, ni kweli Bozi Boziana yuko Dsm?

Ralphryder

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2011
Posts
5,168
Reaction score
1,549
Nasikia anakaa kwa mmiliki wa bendi inayotumia mtindo wa kinu na mtwangio?
 
Sisi inatuhusu nini? si uende huko kinu na mtawangio ukajiridhishe?
 
Matola, mimi nimeskia yupo na kafulia ile@mbaya kama huna taarifa pita! Usilete kidomodomo ntakupa kubwa halafu unanitafutie BAN buree! Ohooo!
 
Last edited by a moderator:

Dogo unatishia kujamba wakati unahara!? jaribu uone nikufundishe adabu.

Akifulia wewe inakuhusu nini? mbona wewe mwenyewe umechoka vile vile? Mfyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!!
 
Matola, We unajifunzia bangi chooni sio? massaburi yanakuwasha!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom