Mshumaa_Tz
JF-Expert Member
- Mar 20, 2020
- 681
- 2,503
Thread closed1. Wizi wa kura ni tukio la kufikirika tu halina uhalisia wowote na madai yoyote yanayotolewa na upinzani.
2. Kama kura singekuwa zinaibiwa nafikiri isingekuwa rahisi upinzani kushinda kwa majimbo mengi...
Watanzania naomba tuzungumze ukweli kuhusu swala la wizi wa kura,
Je, nikweli CCM wanaiba kura?
Tujikite kwenye hoja maana kati ya sifa mbaya zinazitumika kuichafua ccm mojawapo niwizi wa kura je ? Cccm wanaiba kweli kura?
Kura wanaiba sana tu.Watz naomba tuzungumze ukweli kuhusu swala la wizi wa kura ,
Je nikweli ccm wanaiba kura?
Tujikite kwenye hoja maana kati ya sifa mbaya zinazitumika kuichafua ccm mojawapo niwizi wa kura je ? Cccm wanaiba kweli kura?
We nikada kura zinaibiwa vizuri tu, rejea kipindi cha kikwete mabox mangapi yalikamatwa ambayo hayakuesabiwa, rudi shule!1. Wizi wa kura ni tukio la kufikirika tu halina uhalisia wowote na madai yoyote yanayotolewa na upinzani.
2. Kama kura singekuwa zinaibiwa nafikiri isingekuwa rahisi upinzani kushinda kwa majimbo mengi.
3. Upinzani bado haupo katika mizani ya kujilinganisha na CCM kwa kupendwa na watu wengi, hivyo suala la wizi wa kura ni la kufikirika.
4. Mpaka uchaguzi unafanyika, CCM inakuwa na uhakika wa ushindi wa kishindo kutokana na maandalizi inayofanya.
5. CCM Kuna hazina ya uongozi na Viongozi wa kustawisha uongozi wa nchi yetu kwa Karne kadhaa zijazo, hivyo hakiwezi kutumia njia ya mkato namna hiyo
CCM raha jamani, kampeni kidogo ushindi mwingi
Kura zinaweza kuibwa? Kama ndio basi huwezi kukataa.. mimi nasema kura zinawrza kuibwa na zinsibwa. Mwenye kuiba ana sababuCcm hatujawahi kuiba kura ni kelele tu hakuna ushahidi ila rais kikwete aliwahi kusema afrika mtu akishinda anasema hakuibiwa kura akishindwa anasema ameibiwa kura
Watz naomba tuzungumze ukweli kuhusu swala la wizi wa kura ,
Je nikweli ccm wanaiba kura?
Tujikite kwenye hoja maana kati ya sifa mbaya zinazitumika kuichafua ccm mojawapo niwizi wa kura je ? Cccm wanaiba kweli kura?
Wanaibaa1. Wizi wa kura ni tukio la kufikirika tu halina uhalisia wowote na madai yoyote yanayotolewa na upinzani.