Je ni kweli cement ya Dangote imeshaanza kusambazwa mikoani na shilingi 10,000?

Je ni kweli cement ya Dangote imeshaanza kusambazwa mikoani na shilingi 10,000?

Benjamin mathayo

Senior Member
Joined
Mar 6, 2016
Posts
112
Reaction score
29
Eti nikweli cement ya dangote imeshaanza kusambazwa mikoani na inauzwa elifu kumi tu mm nipo singida lkn s
 
sio kweli Dar kwa wholesale nimeona 11500
 
Huku kwetu Tandahimba, Mtwara inauzwa kati ya 12,000 na 12,500 .
 
Back
Top Bottom