Benjamin mathayo Senior Member Joined Mar 6, 2016 Posts 112 Reaction score 29 Jun 6, 2016 #1 Eti nikweli cement ya dangote imeshaanza kusambazwa mikoani na inauzwa elifu kumi tu mm nipo singida lkn s
Eti nikweli cement ya dangote imeshaanza kusambazwa mikoani na inauzwa elifu kumi tu mm nipo singida lkn s
Mr Hero JF-Expert Member Joined Jun 11, 2015 Posts 5,540 Reaction score 7,455 Jun 6, 2016 #2 sio kweli Dar kwa wholesale nimeona 11500
Benjamin mathayo Senior Member Joined Mar 6, 2016 Posts 112 Reaction score 29 Jun 6, 2016 Thread starter #3 Benjamin mathayo said: Eti nikweli cement ya dangote imeshaanza kusambazwa mikoani na inauzwa elifu kumi tu mm nipo singida lkn s Click to expand... ijabahatika kujua wapi inauzwa plz mwenye kujua wapi inauzwa anijulishe
Benjamin mathayo said: Eti nikweli cement ya dangote imeshaanza kusambazwa mikoani na inauzwa elifu kumi tu mm nipo singida lkn s Click to expand... ijabahatika kujua wapi inauzwa plz mwenye kujua wapi inauzwa anijulishe
stanleyRuta JF-Expert Member Joined Jul 19, 2014 Posts 851 Reaction score 519 Jun 6, 2016 #4 Njoo nikuuzie 11500 bei ya rejareja.....
Rugaijamu JF-Expert Member Joined Jul 10, 2010 Posts 2,942 Reaction score 1,298 Jun 7, 2016 #5 Huku kwetu Tandahimba, Mtwara inauzwa kati ya 12,000 na 12,500 .