Usher-smith MD
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 9,558
- 12,335
Hii issue sio ya kukurupuka kama wengi wanavyofikiria, Simba/Yanga wana advantage ya kuwa na fan base kubwa lakini viongozi hawajafanya lolote kuwashawishi wapenzi na mashabiki kuwa wanachama.Hivi Yanga/Simba wana wanachama ambao wanaishi Pemba,Mbinga,Sumbawanga au Kigoma ?....hii issue itahitaji muda, nadhani na katiba pia itatakiwa kurekebishwa,kuwakusanya hao wanachama mil. 5 sio kazi rahisi,na je wote watakuwa tayari kuichangia klabu?, isije kuwa tunaisemea mioyo ya watu tu, sababu ya mapenzi yetu kwa klabu!
Mpango ni je, kwa sasa tutafanyaje ili kuinusuru klabu itoke hapa ilipo?, na sisi tuanze tena kushiriki mashindano ya kimataifa?
Endelea kusoma maoni yangu utanielewa sijasema huu uongozi ni mzuriKwanini usiwe muwaz tu kuwa uongoz ulioko madarakani ndo tatizo kwa simba? Kabla ya hawa watu mbona simba ilikuwa poa?
Hilo suala ndo hata Mimi linanipa ukakasi wa yeye kukabidhiwa timu.Huyo MO aliishindwa African Lyon,simba ataiweza????