Sio kitu sema"KUNA MTU HAYUPO SAWA"Kuna kitu hakiko sawa
Sio kitu sema"KUNA MTU HAYUPO SAWA"
Mimi sio Masqo. Hebu Soma hiiView attachment 1511116
Piga kelele kwa Don ake ,weuweeeeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Vijaya WA Hushpuppi wako kazini.
Piga kelele kwa Don ake ,weuweeeeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwamba nakuelewa sana
Kumbe umeenda hadi kwa wakili kula kiapo kabisa. Na unajua kabisa details za kuficha hapo🤣🤣
Noma sana!
Kichwani.Kuna kitu hakiko sawa
Sawa Don, anza kumlisha michembe na Kamongo. Atazoea tu
😂😂
Endelea na mawasiliano utaijua Tu.Kazi ipi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unaimba lugha gani?
Kila la kheri don
Endelea na mawasiliano utaijua Tu.