johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Aliua kijiji kizima Rombo....Nimemsikia mtangazaji wa Upendo TV akiripoti kutokea Cathedral ya Azania Front akisema hapo ndipo alipokuwa anasali Dr Karl Peters
Na nimesoma Kwenye Gazeti fulani kuwa Karl Peters aliruhusiwa kuingia Tanganyika na Sultan wa Oman aliyeishi Zanzibar Wakati huo
Na zaidi ikasemwa Karl Peters aliwahi kuuwa kijiji kizima cha Wachagga huko Rombo
Naomba majibu ya swali langu ikumbukwe Karl Peters ndiye aliyemsainisha Mikataba wa Kitapeli Chifu Mangungo wa Msovero
Nawatakia Dominica njema π
Oh so Wakatoliki wameanza mashambulizi Kwa KKT??Upendo TV ya wa KKKT hiyo
FaizaFoxyNimemsikia mtangazaji wa Upendo TV akiripoti kutokea Cathedral ya Azania Front akisema hapo ndipo alipokuwa anasali Dr. Karl Peters.
Na nimesoma kwenye gazeti fulani kuwa Karl Peters aliruhusiwa kuingia Tanganyika na Sultan wa Oman aliyeishi Zanzibar wakati huo.
Na zaidi ikasemwa Karl Peters aliwahi kuuwa kijiji kizima cha Wachaga huko Rombo.
Naomba majibu ya swali langu, ikumbukwe Karl Peters ndiye aliyemsainisha Mikataba wa Kitapeli Chifu Mangungo wa Msovero.
Nawatakia Dominica njema π
Mkuu ahsante huyu atatusaidia
Carl Peters alitoka Ujerumani na alikuja Africa mashariki kuitafutia nchi yake MakoloniCarl Peter alitoka nchi gani kwanza?
Nchi aliyotoka Kanisa gani ndo Lina nguvu?KKKT ndo makao makuu ya Hilo Kanisa na alipotoka Carl Peter??
Naunga mkono hojaMnaonaje mtwangane makonde ubishi uishe
Mashekhe vs Mapadre
Waumini wa kiislamu vs Waumini wa Kikristo
Wapagani tutakua marefa
NB: Waamini wa kiislamu na mashekhe hujifunza kung-fu sijajua wakristo, wekeni mambo sawa ili tupange sehemu...kama itakua Dar itafaa zaidi iwe pale Mkapa stadium ili mashabiki tuwe wengi
Asante.
Umeniita, tatizo nini?
Alikuja mwaka gani?Kabla ya mwaka 1885 Deutsch-Ost Afrika au Tanganyika hazikuwepo.
Wapelelezi wa Kijerumani waliosaini mikataba na machifu ni Dr Karl Peters na Dr Karl Juhlke.
Maeneo mengi ya huku Tanzani bara yalikuwa chini ya usimamizi wa Zanzibar (Under Suzerainity).
Sehemu kama Arusha (Aruscha) na Kilimanjaro zilikuwa ziko chini ya Sultan wa Zanzibar ambaye naye aliwadanganya machifu wa huku bara. Tatizo lilianza ni kwamba Dr Karl Peters na Dr Karl Juhlke waliwashinda waarabu akili. Wenyewe walienda kusaini mikataba mipya na machifu wa huku bara ambapo, hao machifu walisema hawako chini ya Sultan. Aliyewasaidia wakina Karl Peters kumzunguka Sultan alikuwa ni mwarabu na Mkalimani Bwana Ramadhani ambaye alitumika kama mtafasiri aliyesaidia kusainiwa mikataba feki.
Kipindi hiki pia, Sultan wa Zanzibar alikuwa na ofisi ya kibalozi huku bara. Msimamizi wa hii ofisi alisema wazi kwamba Sultan hakuwa anamiliki maeneo yoyote huku bara mbali na maeneo ya Pwani. Baada ya mkutano wa Berlin kuisha mwaka 1884, Sultan wa Zanzibar aliandika barua kwa Mfalme wa Ujerumani na Uingereza, kwanini walimzunguka na hakushirikishwa ilhali maeneo mengi ya huku bara ni yake. Sultan wa Zanzibar alifanya makubaliano mengine kuhusu Mombasa, kipindi hicho akimshirikisha Muingereza na Mjerumani.
Taarifa hizi kuhusu maeneo ya kule Kaskazini na Sultan kutaka kuyatawala, mara ya kwanza kabisa ziliwekwa wazi mwaka 1972 na Wizara ya Mambo ya Nje ya Tanzania. Wanasheria na watafiti wa Wizara, Bwana Earl Seaton na Sosthenes Maliti waliandaa chapisho zuri kabisa ambalo liliweka wazi hii mikataba na barua za Sultan kwa wafalme wa Uingereza na Ujerumani kuhusu maeneo ya Tanganyika. Kiufupi, hao wanaoshabikia usultan kwasababu za kidini huwa nawaona kama watu fulani waliopagawa akili.
Nikipata wasaa ntayaweka hayo machapisho na zile barua, nadhani bado zitakuwepo kwenye ile maktaba. Kuna machapisho yanaitwa Tanzania Treaty Series, yalikuwa yanaandaliwa na Foreign Affairs Office, lakini waliacha kuyachapisha. Mle ndani hadi mikataba yote kuhusu Tanganyika mnamo karne za 19 na 20 mwanzoni ipo.
Hawatakiwi kukumbukwa kwa loloteNa nimesoma kwenye gazeti fulani kuwa Karl Peters aliruhusiwa kuingia Tanganyika na Sultan wa Oman aliyeishi Zanzibar wakati huo.
Na zaidi ikasemwa Karl Peters aliwahi kuuwa kijiji kizima cha Wachaga huko Rombo.
Jibu maswali ya mtoa mada kuhusu huyu tapeli Karl Peters.Umeniita, tatizo nini?
Ujibu maswali ya Mlumumba mwenzako kuhusu matapeli Sultan na Karl Peters kama walikuwa wanagawana ardhi ya Watanganyika kitapeli.Umeniita, tatizo nini?
Sultani gani wa Omani alieshi Zanzibar wakati wa Karl Peters ?? Hebu tuwekee sawa hapaNimemsikia mtangazaji wa Upendo TV akiripoti kutokea Cathedral ya Azania Front akisema hapo ndipo alipokuwa anasali Dr. Karl Peters.
Na nimesoma kwenye gazeti fulani kuwa Karl Peters aliruhusiwa kuingia Tanganyika na Sultan wa Oman aliyeishi Zanzibar wakati huo.
Na zaidi ikasemwa Karl Peters aliwahi kuuwa kijiji kizima cha Wachaga huko Rombo.
Naomba majibu ya swali langu, ikumbukwe Karl Peters ndiye aliyemsainisha Mikataba wa Kitapeli Chifu Mangungo wa Msovero.
Nawatakia Dominica njema π
Sultan wa Oman na Zanzibar alikuwa Seyyid Said alifariki 1856 na himaya yake ikagawqnyika mwanae mmoja Majid akarithi ZanZibar na Afrika mashariki.Mwingine Thuwain akarithi Oman.Kuanzia hapo wakawa maadui.Sultan Majid alirithiwa na Barghash na huyo ndo alikutana Karl Peters.Nimemsikia mtangazaji wa Upendo TV akiripoti kutokea Cathedral ya Azania Front akisema hapo ndipo alipokuwa anasali Dr. Karl Peters.
Na nimesoma kwenye gazeti fulani kuwa Karl Peters aliruhusiwa kuingia Tanganyika na Sultan wa Oman aliyeishi Zanzibar wakati huo.
Na zaidi ikasemwa Karl Peters aliwahi kuuwa kijiji kizima cha Wachaga huko Rombo.
Naomba majibu ya swali langu, ikumbukwe Karl Peters ndiye aliyemsainisha Mikataba wa Kitapeli Chifu Mangungo wa Msovero.
Nawatakia Dominica njema π