tindikalikali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 4,854
- 1,129
nimejifunza mengi hapa, asanten wote mliochangia.
Ukombozi hauko vitabuni..hao life coaches are just another scums. Kifupi hakuna uezekano wa kila mmoja wetu akawa tajiri, hicho kitu hakipo.Mkuu soma vitabu:"rich dad poor dad"na "get rich retire young"majibu yako yoooote yamo humo,watu wengi ni maskini kwa kuwa wanafikiria 2 kusoma na kufaulu vizuri ili wapate kazi nzuri!kuuna njia nyingine,tafuta hivyo vitabu ni ukombozi hasaa....!
mimi ni lecturer pia,tatizo tunajikweza sana na kudharau waliopo nje ya vyuo hivyo hatuweki networking nao. Sijui uko chuo gani na field ipi? Ni pm nikupe mtoko.Dont argonize but organize.
Yote ni mipango ya mungu
Ukombozi hauko vitabuni..hao life coaches are just another scums. Kifupi hakuna uezekano wa kila mmoja wetu akawa tajiri, hicho kitu hakipo.
Ufunguo wa maisha kwenda wapi!!!.
ni ufungua wa kudadavua yale yaliojificha na kuyaweka wazi then kuyafanya kwako ww mwenyewe au jamii kunufaika nayo
mimi ni lecturer pia,tatizo tunajikweza sana na kudharau waliopo nje ya vyuo hivyo hatuweki networking nao. Sijui uko chuo gani na field ipi? Ni pm nikupe mtoko.Dont argonize but organize.
Nilichojifunza kwenye uzi huu ni kwama, maisha hayana formula! Weka malengo binafsi na wala usihangaike kujifananisha
Inaonyesha wazi kabisa kuwa elimu yako haijakusaidia kuwa na upeo!!!
Kwanza sio maadili kabisa (professional ethics) kwa msomi kama wewe kuandika mambo kama haya yenye muelekeo wa kulinganisha elimu na kipato.
Pili ujue kwamba mafanikio sio kujenga au kuwa na gari au kuwa tajiri. Mafanikio ni kufikia malengo. Hiyo phd yako ni mafanikio makubwa kuliko hao wenye utajiri.
Tatu Elimu hailinganishwi na utajiri. Kumbuka wakati upo sekondari wenzako walioishia la saba wengine walikuwa matajiri tayari.
Mwisho, nimegundua kuwa una elimu ya darasani lakini huna Hekima. Anza sasa kujifunza hekima !!!
Naunga mkono hoja.