Je, ni kweli haitakuja kutokea binadamu akagundua teknolojia ya kufufa watu kama aliyotumia Yesu?

Sasa si umwone Mzee wa Ufufuo na Uzima au Kuhani wa Temboni wakupe maujanja ya kufufua watu...
 
Kama ni kweli Yesu alifufu mtu, basi bila shaka teknolojia hiyo ipo.., otherwise yeye aliwezaje?

Je, ni kweli teknolojia hiyo haitokuja kugundulika hadi mwisho wa dunia?
Kuna tofauti kati ya Teknolojia na miujiza. Yesu alikuwa anafanya miujiza, mambo ambayo teknolojia haiwezi kuyaelewa, kuyafanya au kuchambua.
 
ipo mbona, hujui kuna kanisa la ufufuo na uzima au ww ni mgeni mjini?
 
Kama ni kweli Yesu alifufu mtu, basi bila shaka teknolojia hiyo ipo.., otherwise yeye aliwezaje?

Je, ni kweli teknolojia hiyo haitokuja kugundulika hadi mwisho wa dunia?
Yesu sio Mungu ..hana na hajawahi kuwa na uwezo wa kufufua
 
Umenifanya ni fikirie
Na hapa ndio atheist ⚛️ wanachukua points
 
Kama ni kweli Yesu alifufu mtu, basi bila shaka teknolojia hiyo ipo.., otherwise yeye aliwezaje?

Je, ni kweli teknolojia hiyo haitokuja kugundulika hadi mwisho wa dunia?
Ni makosa kusema Yesu alifufua watu, sijui labda hatuna msamiati nzuri wa kiswahil ndio maana tunaishia kusema alifufua watu, ila kwenye kiingereza tuna Ressurection na Resuscitation. Tafuta tofauti ya hayo maneno.
 
Mambo Kila siku yanavumbuliwa, bahari zetu tu hatuzijui Bado, binadamu tuna safari ndefu sanaaaaa.
 
Kuna tofauti kati ya Teknolojia na miujiza. Yesu alikuwa anafanya miujiza, mambo ambayo teknolojia haiwezi kuyaelewa, kuyafanya au kuchambua.
Miujiza ni teknolojia usiyoijua. Ukiijua tu, inakoma kuwa kuwa muujiza.
 
Back
Top Bottom