FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Kwanza kabisa, hatujathibitisha kuwa Yesu alifufua mtu.Kama ni kweli Yesu alifufu mtu, basi bila shaka teknolojia hiyo ipo.., otherwise yeye aliwezaje?
Je, ni kweli teknolojia hiyo haitkuja kugundulika hadi mwisho wa dunia?
Ingeanza teknolojia ya kumfanya mtu asife aishi milele. Na kuzuia kuzeekaKama ni kweli Yesu alifufu mtu, basi bila shaka teknolojia hiyo ipo.., otherwise yeye aliwezaje?
Je, ni kweli teknolojia hiyo haitkuja kugundulika hadi mwisho wa dunia?
Kuna tofauti kati ya Teknolojia na miujiza. Yesu alikuwa anafanya miujiza, mambo ambayo teknolojia haiwezi kuyaelewa, kuyafanya au kuchambua.Kama ni kweli Yesu alifufu mtu, basi bila shaka teknolojia hiyo ipo.., otherwise yeye aliwezaje?
Je, ni kweli teknolojia hiyo haitokuja kugundulika hadi mwisho wa dunia?
ipo mbona, hujui kuna kanisa la ufufuo na uzima au ww ni mgeni mjini?Kama ni kweli Yesu alifufu mtu, basi bila shaka teknolojia hiyo ipo.., otherwise yeye aliwezaje?
Je, ni kweli teknolojia hiyo haitokuja kugundulika hadi mwisho wa dunia?
Yesu sio Mungu ..hana na hajawahi kuwa na uwezo wa kufufuaKama ni kweli Yesu alifufu mtu, basi bila shaka teknolojia hiyo ipo.., otherwise yeye aliwezaje?
Je, ni kweli teknolojia hiyo haitokuja kugundulika hadi mwisho wa dunia?
Ni makosa kusema Yesu alifufua watu, sijui labda hatuna msamiati nzuri wa kiswahil ndio maana tunaishia kusema alifufua watu, ila kwenye kiingereza tuna Ressurection na Resuscitation. Tafuta tofauti ya hayo maneno.Kama ni kweli Yesu alifufu mtu, basi bila shaka teknolojia hiyo ipo.., otherwise yeye aliwezaje?
Je, ni kweli teknolojia hiyo haitokuja kugundulika hadi mwisho wa dunia?
Nje kabisa ya mada.Yesu sio Mungu ..hana na hajawahi kuwa na uwezo wa kufufua
Technology haiwezi kuyachambua kwasababu hayo mambo bado ni dhahania.Kuna tofauti kati ya Teknolojia na miujiza. Yesu alikuwa anafanya miujiza, mambo ambayo teknolojia haiwezi kuyaelewa, kuyafanya au kuchambua.
Na wewe ukaamini binadamu yesu alifufua wenzake?Kama ni kweli Yesu alifufu mtu, basi bila shaka teknolojia hiyo ipo.., otherwise yeye aliwezaje?
Je, ni kweli teknolojia hiyo haitokuja kugundulika hadi mwisho wa dunia?
Miujiza ni teknolojia usiyoijua. Ukiijua tu, inakoma kuwa kuwa muujiza.Kuna tofauti kati ya Teknolojia na miujiza. Yesu alikuwa anafanya miujiza, mambo ambayo teknolojia haiwezi kuyaelewa, kuyafanya au kuchambua.