Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,157
Salamu ziwafikie popote mlipo, pia poleni na majukumu ya kila siku.
Siku hizi hii kauli ninaiskia sana kwa wenzangu kwamba "eti siku hizi hakuna wa peke yako" na wanaongeza kuwa "ukimtaka wa peke yako muumbe au mzae mwenyewe", hivi kuna ukweli kwenye hili?
Mimi binafsi inaniuma sana..... kwamba kama ni kweli yani ndio tumefikia huko kwa kujustify maisha ya kukosa uaminifu??

kwa wazungu na mabara mengine yupo wa peke yako,ila kwa wabongo hakuna......si umeziona thread za mwanaume kuwa na mwanamke zaidi ya mmoja ni 'nature' hapo ndipo walipofikia mwenzio.....sasa wewe kama una akili zako utachanganya na zako kisa cha kuwa na mwanaume mwenye mawazo finyu kama hayo???....babu tusizeeshane eeeeh......wazungu oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
Kazi ya U-Turn hii lol

asante, yaani getrude = neema kichwa kakijaza wazungu badala ya chakula
U-Turn imewaharibu sana wadada...lol. Mange ni mtu mbaya sana yule.
bora tumchangie ng'ombe hata wawili awaweke kichwani
wananichosha kweli
hakuna watu wachafu kama hao
kwanza wanabomoa seva zao
bado wanawahusudu
Kazi ya U-Turn hii lol
bora tumchangie ng'ombe hata wawili awaweke kichwani
wananichosha kweli
hakuna watu wachafu kama hao
kwanza wanabomoa seva zao
bado wanawahusudu
tafuta thread ya The Boss,nyumba ndogo jinsi ilivyokuwa popular hapa JF lol,.........................mie mliniacha hoi kwa kweli.................................................lol