Tumlaani Mange aisee.
mbona ukimwi kwa wazungu hamna kama kwetu???this shows nani haswaaa ndio wachafu wa kutimba timba lol,kongosho hauna kaka mzungu uniunganishe naye?lol
duh, yaani mimi huyo mtu wala sijawahi mwongelea
anaishi mars
ninaishi pluto
ila kama ndo anawajaza takataka watoto wetu
na apotelee katika miish ya dunia
Unatafuta mzungu Nee?
neema ndo getruda wa vacation
mbona ukimwi kwa wazungu hamna kama kwetu???this shows nani haswaaa ndio wachafu wa kutimba timba lol,kongosho hauna kaka mzungu uniunganishe naye?lol
neema ndo getruda wa vacation
Unatafuta mzungu Nee?
Umeona picha zake lakini? Ingia kwenye profile yake umcheki vizuri....ana kafigure flani hivi....Ila ana kitumbo..sijui ana kibendi...?
natafuta mzungu NN,ndio malengo niliyojiwekea 2012...na nikimpata mpaka nikaringishie u turn lol
Hutofautiani na mkuu wako aliyesema watoto wa shule za msingi kupata mimba ni kiherehere chao
maliza la saba tuje tufanye research ya mambo ya ukimwi japo upate mwanga kidogo
ila uje na cheti kinachopruvu una uko above 18
natafuta mzungu NN,ndio malengo niliyojiwekea 2012...na nikimpata mpaka nikaringishie u turn lol
Huyu dada amekuwa kama okoli kwa kuwatukuza wazungu, hivi haamini kama wanaume wazuri na waadilifu wanaweza kupatikana Africa? ulaya tu ndo kuna waaminifu? dahh huu ni muendelezo wa mindset za kuwatukuza wazungu kwa kila kitu, sipendi hii tabia hata kidogo!
babu weee the same unavyotukuza waaafrica ndivyo ninavyotukuza wazungu,ni preference tu kama unayoenda dukani unanunua maji ya kilimanjaro na si uhai....mie mbona sijakuchukia na tabia yako ya kupenda waafrica.......?
Hahahahaha haya Neema mpendwa, ila nimependa unavyoijenga hoja hoja yako, unaelekea kuniconvince na mimi huenda nikaanza kutafuta mzungu kwa kuita pita maeneo ya serena, kempisk(???) na kule sunrise beach....nijue wakoje na kupata ladha yao
kwa wazungu na mabara mengine yupo wa peke yako,ila kwa wabongo hakuna......si umeziona thread za mwanaume kuwa na mwanamke zaidi ya mmoja ni 'nature' hapo ndipo walipofikia mwenzio.....sasa wewe kama una akili zako utachanganya na zako kisa cha kuwa na mwanaume mwenye mawazo finyu kama hayo???....babu tusizeeshane eeeeh......wazungu oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
lol,Mrembo unashawishika kirahisi hivyo? ....haya bwana nimefurahi nimepata mfuasi......ukiwa unaenda kuwinda usisahau kunistua twende wote,...lol