msovero
JF-Expert Member
- Jun 30, 2019
- 863
- 1,534
Kama kichwa hapo juu kinavyojieleza.
Mtakumbuka Rais magufuli alitoa kibali cha kuajiri walimu 13,000 ili kukabiliana na tatizo la upungufu wa walimu nchini.
Katika kibali hicho, serikali iliamua kutoa ajira hizo katika awamu mbili ambapo katika awamu ya kwanza zilitolewa ajira 8,000 zikasalia ajira 5,000 ambazo pia zinatarajiwa kutolewa karibuni.
Kufuatia hatua hiyo kuna rumors za chini ya kapeti zinadai kwenye ajira 5,000 zilizobaki kuna mchakato wa kutumia watu barua za ajira toka Tamisemi na kuajiri watu kimya kimya unaendelea kufanyika.
Rumors hizo zimekuwa zikitolewa na watu mbali mbali katika mitandao ya kijamii ikiwemo face book, whatsapp, hapa jamii forums na kwingineko.
Haya ni baadhi ya mambo waliyoandika wadau kuhusiana na rumors hizo,
Baadhi ya maoni ya wadau wa hapa jamii forums pia wameandika
Kutokana na rumors hizi kusemwa semwa sana inaonyesha kuna ukweli fulani kuhusiana na hili jambo hivyo nimeonelea nililete hapa jamii forums sehemu ambapo watu wanaweza kulizungumza kwa uhuru na uwazi ili watu waseme ukweli juu ya kinachoendelea.
Je, ni kweli kuwa watu wamepewa barua za ajira ya ualimu na wanaendelea kuajiriwa kimya kimya na ofisi ya Rais-Tamisemi?