Je, ni kweli hizi dawa kurefusha uume zipo?

Mkuu uume ni nyama na unakuwa kupitia cell division, acreation and elongation. Na building blocks za uume, kama sehemu ya mwili, ni chakula (nutrients). Hakuna dawa ya kufanya haya yote zaidi ya LISHE tu mkuu. Epuka matapeli.
 
Hii kuchanjia ndio wanafanyaje?....nakumbuka tulivyokuwa shule ya msingi kuna mwana alidai yeye amechanjia dodoki na kweli mzigo alikua nao...
Iyo ni kweli kabisa sema nazan ina umli ngoja ntauliza kwa bab yangu arusha kule kijjn
 
Siku moja najipitia zangu mjini naona mmasai ananisubirisha ewe musee nausa dawa ya kuongeza mb.. nikamwambia hivi nyie wamasai mnaakili kweli, Mimi na umri huu na watoto ninao wa kutosha ndio unanishauri niongeze mb....? Nikamwambia tafuta hao vijana na 18 bado hawana akili ndio unaweza kuwapa hayo mambo
 
Mkuu uume ni nyama na unakuwa kupitia cell division, acreation and elongation. Na building blocks za uume, kama sehemu ya mwili, ni chakula (nutrients). Hakuna dawa ya kufanya haya yote zaidi ya LISHE tu mkuu. Epuka matapeli.
Nakubaliana na wewe ila kama personal trainer hapo zamani ni kuwa , muscles au misuli huongeza Kwa kufanya resistance training/kubeba chuma hasa Kwa kuongeza uzito unaoubeba Kwa awamu endelevu.
Mazoezi ya kukimbia au kucheza mpira huitwa cardio training ambayo hupungua misuli, ila huyeyusha sana mafuta.

Sababu ya utangulizi huo ni kuwa ,mdudu kama muscles linahitaji mazoezi ya uzito Ili misuli kuongezeka kama vile unapopiga chuma kuongeza mkono au upaja.
Swali ?uzito unautoa wapi?

Maana zoezi maarufu watu wengi hupenda kusema sana kegel ila hiyo ni form ya cardio training na sio weight resistance training.
Weight resistance training lazima uwe na uzito wa kubeba na jinsi unavyoongeza uzito ndivyo misuli hukua.
Huu ni mfano wa vifaa au uzito unaotumika kama resistance training
Niliwahi kisikia wamasai Wana njia ya Asili ya kunyanyua uzito.kama Kuna anayejua basi afanye kushare.
Dawa za kupaka au kunywa ni Matokeo ya muda mfupi lakini kama una kibamia basi tafuta uzito na uanze zoezi
 

Wewe unataka uume mrefu na mkubwa kwaajili ya nini?
Wanawake wamekuambia wanataka uume mrefu na mkubwa uliotokana na dawa?
 
Kwanini usitumie muegea au mzamimu? Uume unarefuka na kuwa steel. Ila unatakiwa uwe na uhakika wa mbususu kila baada ya siku 2 kwa miezi 3.
Muegea mdo mmea gani mkuu
 
Kwanini usitumie muegea au mzamimu? Uume unarefuka na kuwa steel. Ila unatakiwa uwe na uhakika wa mbususu kila baada ya siku 2 kwa miezi 3.
Njoo inbox na maelekezo ya kutosha fursa ya kupiga heka hii, ntakuwa mganga mkuu we mchimba dawa. Fanya kuja inbox
 
Kwahiyo unakuwa unapaka kabla ya mzagamuano
 
Ogopa biashara yoyote isiyokuwa na ofisi husika lakini kwenye matangazo wanakuambia mikoani 'TUNATUMA'
 
Mafuta ya Muegea ndio suluhisho lako unakua unapaka kutwa mara 2 asubuhi na jioni kwa muda wa siku 20 ila matokeo ninndani ya siku 7 huwa yanasaidia kuimarisha misuli ya uume, kuurudisha nje uume ulioingia ndani (kibamia) na kukuza maumbile kiujumla, haya huwasaidia hata walio athirika na punyeto, au yeyote mwenye changamoto ya uume wake kuwahi kulala ktk tendo.

Ukitumia haya mafuta uume wako utakua mnono na mtamu kwa mkeo
 
Jamani nimeupata muegea ntaufanyia kazi nipate mteja mmoja wa majatibio ikijibu tuingie sokoni.
 

Attachments

  • Screenshot_20240113-153543.jpg
    217.1 KB · Views: 41
Zipo ambazo zipo katika mfumo wa kimiminika;inatumika kuchua uume hadi unarefuka ndani ya mwezi.

Hizi sikushauri uzitumie kwani mbolo hapo baadae itakuja kulegea na kishindwa kula mzigo.
 
ila zipo dildo mboo za plastik unavaa size unazotaka na zipo dar zinauzwa nahisi kinondoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…