OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Hapo uliposema walemavu WOTE ndo uongo. Mengine sijui.Kwa yanayoendelea Congo nimebaini kuwa vita zina propaganda nyingi sana. Kwenye historia ya Idd Amina tumeambiwa kwamba Iddi Amin akiwa Rais aliwahi kufokewa na mlemavu kwamba ameshindwa kuiongoza Uganda. Siku chache zijazo Dikteta alikusanya walemavu wote mijini wakaenda kumwagwa wote mto Nile kuliwa na mambo.
Hii stori ni ya kweli?
Nyerere alikua bingwa wa propaganda ni propagandist mzuri kwa madui wake wa kisiasa mgambo wakati mchakamcka walikua wanaimba kambona kakimbia ulaya kuolewa.........kwasababu kambona alimpinga Nyerere wazi wazi.Kwa yanayoendelea Congo nimebaini kuwa vita zina propaganda nyingi sana. Kwenye historia ya Idd Amina tumeambiwa kwamba Iddi Amin akiwa Rais aliwahi kufokewa na mlemavu kwamba ameshindwa kuiongoza Uganda. Siku chache zijazo Dikteta alikusanya walemavu wote mijini wakaenda kumwagwa wote mto Nile kuliwa na mambo.
Hii stori ni ya kweli?
Siyo propaganda za Nyerere.Propaganda za Mzee Mchonga
Nyerere alikuwa Mtunzi wa Nyimbo ?!!!Nyerere alikua bingwa wa propaganda ni propagandist mzuri kwa madui wake wa kisiasa mgambo wakati mchakamcka walikua wanaimba kambona kakimbia ulaya kuolewa.........kwasababu kambona alimpinga Nyerere wazi wazi.