malikia balqiis
Senior Member
- Apr 28, 2023
- 118
- 189
Habar zenu wadau ninaprnda kabati jeupe la nguo na nina mpango w akununua katika pita pita zangu nikaona mtàndaon wanasema eti rangi nyeupe inawai kufubaa haifai naombeni ushauri wenu je ni kewl kabat nyeupe haifai ???? Nimeogopa kwakwel embu wazoefu mnipe ushauri