malikia balqiis
Senior Member
- Apr 28, 2023
- 118
- 189
Sio Kweli Mpendwa inategemea Wewe tu kuwa Msafi Mimi vitu vyangu vingi Sana ni Vyeupe kuanzia Sebuleni mpaka Chumbani mpaka Shuka ni Nyeupe ninapenda White Sana Nunua tu.Habar zenu wadau ninaprnda kabati jeupe la nguo na nina mpango w akununua katika pita pita zangu nikaona mtàndaon wanasema eti rangi nyeupe inawai kufubaa haifai naombeni ushauri wenu je ni kewl kabat nyeupe haifai ???? Nimeogopa kwakwel embu wazoefu mnipe ushauri
Asante dear mana wamenitisha ao duuh napenda nyeupeHakuna kitu kama hiko,fata kitu roho inapenda
After all kufubaa rangi nyeupe ni kawaida lakini kwa mechanism zilizopo sasa hivi after 3-4 years
Unaspray tena afu mambo yanaenda hata sio ghali kivile
Sisi wengine ni team black
Ukiingia home kila kitu black kuanzia showcase mpaka sofa