Je, ni kweli kila binadamu ana mapafu?

Je, ni kweli kila binadamu ana mapafu?

Njoo mchangie hii mada nitakuwa nawauliza maswali kutokana na comments zenu

"ANIMAL FARM'
Baadhi ya udhaifu wa kawaida kwa binadam wa kiAfrikia ni:
1. Kuzungumza hadharani.
2. Kukabidhi madaraka.
3. Kutokuwa na subira.
4. Kutozingatia undani.
5. Ugumu wa kutoa ukosoaji wenye kujenga.
6. Tatizo la kusema "hapana".
7. Kujiamini.
Naomba niwasilishe walau kwa uchache...🙏
 
Binadamu yyte yule anamapungufu ila tunatofautiana level za mapungufu kwa uelewa wangu
Ni km tabia za binaadamu wote tabia zetu ni zile zile tunatofautiana tu level ya iyo tabia
Kila mtu anawivu ila tunatofautiana level za wivu
 
Je samia ana MAPUNGUFU?
 
Hivi mtoa mada ameuliza kuhusu mapafu au mapungufu?
 
Back
Top Bottom