Baadhi ya udhaifu wa kawaida kwa binadam wa kiAfrikia ni:Njoo mchangie hii mada nitakuwa nawauliza maswali kutokana na comments zenu
"ANIMAL FARM'
Je samia ana MAPUNGUFU?Binadamu yyte yule anamapungufu ila tunatofautiana level za mapungufu kwa uelewa wangu
Ni km tabia za binaadamu wote tabia zetu ni zile zile tunatofautiana tu level ya iyo tabia
Kila mtu anawivu ila tunatofautiana level za wivu
Nimeshtuka mkuu nilidhani umeandika kutokuwa na SubaruKutokuwa na subira
Ndio Mapungufu yenyewe hayo 🤣🤣Hivi mtoa mada ameuliza kuhusu mapafu au mapungufu?