Je, ni kweli Kilimo cha nyuki kinaweza kukutoa kimaisha?

Big Phil

Member
Joined
Nov 20, 2019
Posts
50
Reaction score
339
Habari!

Kwa kipindi kirefu nasikia kwamba Kilimo chenye tija cha nyuki kinaweza kumtoa mkulima kimaisha! Na nikilimo kichokuwa na gharama kubwa, eneo wala muda mwingi wa kukifuatilia kwani kinahitaji eneo zuri kwa ajili ya kutega mizinga na unaendelea na shughuli zako.

Sina utaalamu sana wa Kilimo cha nyuki ila nafahamu umuhimu wa zao la nyuki kwa afya ya binaadam na vilevile kwa uchumi kwani kinaongeza kipato. Kiafya asali inasaidia.

1. Ugonjwa ya viungo/ Maumivu na uvimbe
2. Ugonjwa wa moyo
3. Shinikizo la damu
4. Inaongeza kinga ya mwili
5. Inatibu ukosefu wa nguvu za kiume nk.

Na tunapaswa kufahamu kwamba Kilimo cha nyuki si tu kwaajili ya asali bali bidhaa zingine zitokanazo na zao la nyuki ni kama, Mafuta ya Ngozi, mishumaa n.k.

Kilimo cha nyuki kinaweza kutumika kama chanzo kikubwa cha kukuongezea kipato cha familia.
 
Upi ufugaji unaofaa zaidi?
Kutundika mizinga kwenye miti au kujenga banda la kuweka mizinga?
Naomba kufahamu changamoto za ufugaji huu.
 
FUNYUKI Ni ufupisho wa neno FUga NYUki KIbiashara, mradi huu unaotekelezwa na kampuni ya TANZANIA INTERNATIONAL BEE yenye makao yake Dar es salaam ni mradi mkubwa wenye subtitle ya "The beekeeping hub of Africa"

Mradi una malengo makuu mawili:
1. Beekeeping transformation from local/primitive Beekeeping to modern beekeeping.

2. Kuhamasisha watanzania wengi hususani vijana kujikita kwenye sekta ya ufugaji wa nyuki Kama moja ya fursa za kiuchumi .

Mradi huu umewalenga makundi mawili:
1. Wafugaji wa nyuki ambao wapo tayari wanafuga kienyeji

2. Mtu yoyote ambae anatamani kuanza kufuga nyuki Ila hajui pa kuanzia.

Shabaha za mradi huu;
1. Madi unatarajia kuanzisha makundi ya nyuki yapatao 120,000 katika mikoa mitano ya Tanzania ambapo kwa Sasa tumeanza na mkoa wa Pwani (Bagamoyo)
2. Kukamirika kwa mradi tunatarajia kuzalisha Tani 2,500 za asali kwa mwaka.

3. Tunatarajia kuzalisha Tani 160 za chavua (Pollens) kwa mwaka
4. Tunatarajia kuzalisha Tani 60 za gundi ya nyuki (Propolis) kwa mwaka
5. Tunatarajia kuzalisha Tani 360 za Nta kwa mwaka
6. tunatarajia kutengeneza ajira za kudumu 500 za wataalamu wa nyuki nchini na ajira 1,200 zisizo za kudumu za vijana wenye ujuzi mbalimbali.

Utekelezaji wa mradi
Mradi huu wa kimkakati Ni mradi mkubwa kabisa Tanzania na East Africa kwa ujumla, utekelezaji wa mradi huu utakuwa Ni sehemu ya ufugaji nyuki kwa mlengo wa kibiashara ya mazao ya nyuki ndani na nje ya nchi.

Utekelezaji wa mradi huu unaenda sambamba na Mambo yafuatayo:
1. Uanzishwaji wa mashamba maalumu ya ufugaji wa nyuki na kilimo Cha organic (nyuki wanahitaji Maua kila Mara hivyo maeneo haya lazima yalimwe pia Ila kilimo kisichotumia madawa)
2. Uanzishwaji wa masoko maalumu ya mazao ya nyuki katika maeneo ya mradi, Kama tulivyo na Masoko ya samaki,nguo,n.k,vivyo hivyo mradi huu unaanzisha Masoko maalumu ya mazao sita ya nyuki kwa kila mkoa unapotekelezwa mradi.

3. Viwanda vya uchakataji wa mazao husika ya nyuki,katika maeneo ya mradi (shambani),Kuna viwanda cya uchakataji wa mazao ambayo yatakuwa yanavunwa kwa lengo la kurahisisha uongezaji wa thamani ya mazao ya nyuki kabla ya kwenda masokoni au kumfikia mteja.

Hatua za utekelezaji wa mradi
Mradi unaotekelezwa katika mikoa mitano nchini ambayo ni Pwani,tabora,simiyu,kigoma na Kagera.

Phase one: mradi unaotekelezwa mkoa wa Pwani kwa kuanzisha manzuki kwenye eneo lenye ukubwa wa hekari zisizopungua 250, na kila hekari tunatarajia kuwa na mizinga isiyopungu 70 ya kisasa.

Baada ya kukamirisha pwani mradi utaamua mkoa mwingine Hadi mikoa yote iliyolengwa kukamirika.

Faida za mradi huu kwa mshiriki
1. Mshiriki ataweza kupata Shamba maalumu kwa njia ya mkopo wa muda mrefu (miezi 20) wakati huo anafanya ufugaji wake wa nyuki kibiashara

2. Mshiriki atapata elimu ya kutosha juu ya ufugaji wa nyuki wenye tija kwa kufundisha kuvuna mazao yote sita ya nyuki (asali, nta, sumu ya nyuki, gundi ya nyuki, chavua na maziwa ya nyuki)

3. Mshiriki ataingizwa kwenye mfumo wa moja kwa moja wa kupatiwa Masoko ya mazao yake kabla ata ya kuyavuna.

4. Mshirki atapatiwa usimamizi wa [emoji817] katika kipindi chote cha mradi

5. Mshiriki atapatiwa vifaa na vitendea kazi vya ufugaji Kama mizinga ya nyuki kwa mkopo wa muda mrefu (miezi 20)

Namna ya kushiriki
Mshiriki atatakiwa kulipia 30% tu ya gharama za Shamba na mizinga atakayo.hitaji ,Kisha 70% ya Deni atalipia kidogo kidogo ndani ya miezi 20 .na pindi atakapomaliza Deni lake anapewa na hati miliki ya Shamba lake.
Gharama za shamba hekari moja ni 1.2m

Gharama ya mzinga mmoja wa kisasa ambao unavunwa mazao yote ya nyuki 150,000

Hivyo kujua unahitaji mtaji wa kiasi gani chukua gharama ya Shamba + gharama za mizinga (kulingana na idadi unayotaka)

Kuna mahitaji mengine ya vifaa vidogo vidogo Kama vile mitego ya kuvunia chavua,gundi,mavazi ya nyuki n.k. (hivi mshiriki atawajibika kununua)

Kabla ya kushiriki ni vyema kutembelea mradi Bagamoyo ambapo tayari mradi umeanza kufanyika, na hatua ya Sasa mashamba Kati hekari 250 zimebaki hekari zisizopungua 75, hivyo hekari hizi zikiisha tunaingia hatua ya pili ya uanzishwaji wa makundi ya nyuki.

Siku ya kutembelea mradi NI kila JUMAMOSI YA KILA WIKI, ambapo kwa Sasa tumebakiza wiki 3 tu mbele kukamirisha awamu ya kwanza.

Hivyo kwa wale ambao wako interested kujifunza na wanahitaji kushiriki katika mradi huu..una fursa ya Jumamosi hii kwenda site Bagamoyo kujifunza na kuchagua Shamba lako kwa ajili ya mradi huu.

Tupigie simu au tutembelee ofsini kwetu barabarani ya igesa road nyuma ya jengo refu la PSSSF Complex, tupigie simu namba
0710-332515
 
Asante kwa maelezo haya mazuri sana.
Nipo wilaya ya Ngara mkoa wa Kagera.
Nina mizinga 40 ya mbao.
Eneo/ardhi kwa ajili ya kufuga ninalo la kutosha.
Utaalamu ninao kiasi kidogo.
Nataka niitundike mwaka huu.
Naweza kujumuikaje kwenye mradi huu?
 
Ila hujamjibu swali lake badala yake umekimbilia kujitangaza tu
 
Naomba ujibu hii:
"Upi ufugaji unaofaa zaidi?
Kutundika mizinga kwenye miti au kujenga banda la kuweka mizinga?
Naomba kufahamu changamoto za ufugaji huu."
 
Naomba ujibu na hii:
"Asante kwa maelezo haya mazuri sana.
Nipo wilaya ya Ngara mkoa wa Kagera.
Nina mizinga 40 ya mbao.
Eneo/ardhi kwa ajili ya kufuga ninalo la kutosha.
Utaalamu ninao kiasi kidogo.
Nataka niitundike mwaka huu.
Naweza kujumuikaje kwenye mradi huu"
 
Ila hujamjibu swali lake badala yake umekimbilia kujitangaza tu
Ni kama alishawahi kuandika maelezo sehemu sasa akaja kubonyeza copy and paste bila hata kulinganisha maudhui ya swali 😂😂😂
 
  • Thanks
Reactions: PYD
FUNYUKI Ni ufupisho wa neno FUga NYUki KIbiashara, mradi huu unaotekelezwa na kampuni ya TANZANIA INTERNATIONAL BEE yenye makao yake Dar es salaam ni mradi mkubwa wenye subtitle ya "The beekeeping hub of Africa"

Mradi una malengo makuu mawili:
1. Beekeeping transformation from local/primitive Beekeeping to modern beekeeping.

2. Kuhamasisha watanzania wengi hususani vijana kujikita kwenye sekta ya ufugaji wa nyuki Kama moja ya fursa za kiuchumi .

Mradi huu umewalenga makundi mawili:
1. Wafugaji wa nyuki ambao wapo tayari wanafuga kienyeji

2. Mtu yoyote ambae anatamani kuanza kufuga nyuki Ila hajui pa kuanzia.

Shabaha za mradi huu;
1. Madi unatarajia kuanzisha makundi ya nyuki yapatao 120,000 katika mikoa mitano ya Tanzania ambapo kwa Sasa tumeanza na mkoa wa Pwani (Bagamoyo)
2. Kukamirika kwa mradi tunatarajia kuzalisha Tani 2,500 za asali kwa mwaka.

3. Tunatarajia kuzalisha Tani 160 za chavua (Pollens) kwa mwaka
4. Tunatarajia kuzalisha Tani 60 za gundi ya nyuki (Propolis) kwa mwaka
5. Tunatarajia kuzalisha Tani 360 za Nta kwa mwaka
6. tunatarajia kutengeneza ajira za kudumu 500 za wataalamu wa nyuki nchini na ajira 1,200 zisizo za kudumu za vijana wenye ujuzi mbalimbali.

Utekelezaji wa mradi
Mradi huu wa kimkakati Ni mradi mkubwa kabisa Tanzania na East Africa kwa ujumla, utekelezaji wa mradi huu utakuwa Ni sehemu ya ufugaji nyuki kwa mlengo wa kibiashara ya mazao ya nyuki ndani na nje ya nchi.

Utekelezaji wa mradi huu unaenda sambamba na Mambo yafuatayo:
1. Uanzishwaji wa mashamba maalumu ya ufugaji wa nyuki na kilimo Cha organic (nyuki wanahitaji Maua kila Mara hivyo maeneo haya lazima yalimwe pia Ila kilimo kisichotumia madawa)
2. Uanzishwaji wa masoko maalumu ya mazao ya nyuki katika maeneo ya mradi, Kama tulivyo na Masoko ya samaki,nguo,n.k,vivyo hivyo mradi huu unaanzisha Masoko maalumu ya mazao sita ya nyuki kwa kila mkoa unapotekelezwa mradi.

3. Viwanda vya uchakataji wa mazao husika ya nyuki,katika maeneo ya mradi (shambani),Kuna viwanda cya uchakataji wa mazao ambayo yatakuwa yanavunwa kwa lengo la kurahisisha uongezaji wa thamani ya mazao ya nyuki kabla ya kwenda masokoni au kumfikia mteja.

Hatua za utekelezaji wa mradi
Mradi unaotekelezwa katika mikoa mitano nchini ambayo ni Pwani,tabora,simiyu,kigoma na Kagera.

Phase one: mradi unaotekelezwa mkoa wa Pwani kwa kuanzisha manzuki kwenye eneo lenye ukubwa wa hekari zisizopungua 250, na kila hekari tunatarajia kuwa na mizinga isiyopungu 70 ya kisasa.

Baada ya kukamirisha pwani mradi utaamua mkoa mwingine Hadi mikoa yote iliyolengwa kukamirika.

Faida za mradi huu kwa mshiriki
1. Mshiriki ataweza kupata Shamba maalumu kwa njia ya mkopo wa muda mrefu (miezi 20) wakati huo anafanya ufugaji wake wa nyuki kibiashara

2. Mshiriki atapata elimu ya kutosha juu ya ufugaji wa nyuki wenye tija kwa kufundisha kuvuna mazao yote sita ya nyuki (asali, nta, sumu ya nyuki, gundi ya nyuki, chavua na maziwa ya nyuki)

3. Mshiriki ataingizwa kwenye mfumo wa moja kwa moja wa kupatiwa Masoko ya mazao yake kabla ata ya kuyavuna.

4. Mshirki atapatiwa usimamizi wa [emoji817] katika kipindi chote cha mradi

5. Mshiriki atapatiwa vifaa na vitendea kazi vya ufugaji Kama mizinga ya nyuki kwa mkopo wa muda mrefu (miezi 20)

Namna ya kushiriki
Mshiriki atatakiwa kulipia 30% tu ya gharama za Shamba na mizinga atakayo.hitaji ,Kisha 70% ya Deni atalipia kidogo kidogo ndani ya miezi 20 .na pindi atakapomaliza Deni lake anapewa na hati miliki ya Shamba lake.
Gharama za shamba hekari moja ni 1.2m

Gharama ya mzinga mmoja wa kisasa ambao unavunwa mazao yote ya nyuki 150,000

Hivyo kujua unahitaji mtaji wa kiasi gani chukua gharama ya Shamba + gharama za mizinga (kulingana na idadi unayotaka)

Kuna mahitaji mengine ya vifaa vidogo vidogo Kama vile mitego ya kuvunia chavua,gundi,mavazi ya nyuki n.k. (hivi mshiriki atawajibika kununua)

Kabla ya kushiriki ni vyema kutembelea mradi Bagamoyo ambapo tayari mradi umeanza kufanyika, na hatua ya Sasa mashamba Kati hekari 250 zimebaki hekari zisizopungua 75, hivyo hekari hizi zikiisha tunaingia hatua ya pili ya uanzishwaji wa makundi ya nyuki.

Siku ya kutembelea mradi NI kila JUMAMOSI YA KILA WIKI, ambapo kwa Sasa tumebakiza wiki 3 tu mbele kukamirisha awamu ya kwanza.

Hivyo kwa wale ambao wako interested kujifunza na wanahitaji kushiriki katika mradi huu..una fursa ya Jumamosi hii kwenda site Bagamoyo kujifunza na kuchagua Shamba lako kwa ajili ya mradi huu.

Tupigie simu au tutembelee ofsini kwetu barabarani ya igesa road nyuma ya jengo refu la PSSSF Complex, tupigie simu namba
0710-332515
Mradi huu uko bagamoyo sehemu gani?
 
Uzoefu binafsi kwenye ufugaji nyuki

1. Mradi wa nyuki haukui kwa haraka kama inavyozungumzwa kinadharia.

2. Wakati fulani huchukua muda mpaka makundi ya nyuki kuingia kwenye mizinga.

3. Wakati mwingine nyuki hukimbia. Nyuki hawapatani na wadudu wa aina yoyote kwenye mzinga kama buibui, sisimizi, siafu n.k hakikisha unasafisha mizinga mara kwa mara.

4.Nyuki wanaogopesha hadi utakapowazoea

5. Weka nguzo za chuma zinazofika kwenye kiuno kwa juu kidogo kisha weka mizinga juu. Hii inakurahisishia kuhudumia mizinga. Nguzo zipake greece ili wadudu wasipande na kuingia kwenye mizinga. Aidha, hakikisha mizinga haishikwi na majani au matawi ili wadudu wasiingie kirahisi.
 
Safi sana kiongozi. Mzinga mmoja bei gani?
Asante
 
FUNYUKI Ni ufupisho wa neno FUga NYUki KIbiashara, mradi huu unaotekelezwa na kampuni ya TANZANIA INTERNATIONAL BEE yenye makao yake Dar es salaam ni mradi mkubwa wenye subtitle ya "The beekeeping hub of Africa"

Mradi una malengo makuu mawili:
1. Beekeeping transformation from local/primitive Beekeeping to modern beekeeping.

2. Kuhamasisha watanzania wengi hususani vijana kujikita kwenye sekta ya ufugaji wa nyuki Kama moja ya fursa za kiuchumi .

Mradi huu umewalenga makundi mawili:
1. Wafugaji wa nyuki ambao wapo tayari wanafuga kienyeji

2. Mtu yoyote ambae anatamani kuanza kufuga nyuki Ila hajui pa kuanzia.

Shabaha za mradi huu;
1. Madi unatarajia kuanzisha makundi ya nyuki yapatao 120,000 katika mikoa mitano ya Tanzania ambapo kwa Sasa tumeanza na mkoa wa Pwani (Bagamoyo)
2. Kukamirika kwa mradi tunatarajia kuzalisha Tani 2,500 za asali kwa mwaka.

3. Tunatarajia kuzalisha Tani 160 za chavua (Pollens) kwa mwaka
4. Tunatarajia kuzalisha Tani 60 za gundi ya nyuki (Propolis) kwa mwaka
5. Tunatarajia kuzalisha Tani 360 za Nta kwa mwaka
6. tunatarajia kutengeneza ajira za kudumu 500 za wataalamu wa nyuki nchini na ajira 1,200 zisizo za kudumu za vijana wenye ujuzi mbalimbali.

Utekelezaji wa mradi
Mradi huu wa kimkakati Ni mradi mkubwa kabisa Tanzania na East Africa kwa ujumla, utekelezaji wa mradi huu utakuwa Ni sehemu ya ufugaji nyuki kwa mlengo wa kibiashara ya mazao ya nyuki ndani na nje ya nchi.

Utekelezaji wa mradi huu unaenda sambamba na Mambo yafuatayo:
1. Uanzishwaji wa mashamba maalumu ya ufugaji wa nyuki na kilimo Cha organic (nyuki wanahitaji Maua kila Mara hivyo maeneo haya lazima yalimwe pia Ila kilimo kisichotumia madawa)
2. Uanzishwaji wa masoko maalumu ya mazao ya nyuki katika maeneo ya mradi, Kama tulivyo na Masoko ya samaki,nguo,n.k,vivyo hivyo mradi huu unaanzisha Masoko maalumu ya mazao sita ya nyuki kwa kila mkoa unapotekelezwa mradi.

3. Viwanda vya uchakataji wa mazao husika ya nyuki,katika maeneo ya mradi (shambani),Kuna viwanda cya uchakataji wa mazao ambayo yatakuwa yanavunwa kwa lengo la kurahisisha uongezaji wa thamani ya mazao ya nyuki kabla ya kwenda masokoni au kumfikia mteja.

Hatua za utekelezaji wa mradi
Mradi unaotekelezwa katika mikoa mitano nchini ambayo ni Pwani,tabora,simiyu,kigoma na Kagera.

Phase one: mradi unaotekelezwa mkoa wa Pwani kwa kuanzisha manzuki kwenye eneo lenye ukubwa wa hekari zisizopungua 250, na kila hekari tunatarajia kuwa na mizinga isiyopungu 70 ya kisasa.

Baada ya kukamirisha pwani mradi utaamua mkoa mwingine Hadi mikoa yote iliyolengwa kukamirika.

Faida za mradi huu kwa mshiriki
1. Mshiriki ataweza kupata Shamba maalumu kwa njia ya mkopo wa muda mrefu (miezi 20) wakati huo anafanya ufugaji wake wa nyuki kibiashara

2. Mshiriki atapata elimu ya kutosha juu ya ufugaji wa nyuki wenye tija kwa kufundisha kuvuna mazao yote sita ya nyuki (asali, nta, sumu ya nyuki, gundi ya nyuki, chavua na maziwa ya nyuki)

3. Mshiriki ataingizwa kwenye mfumo wa moja kwa moja wa kupatiwa Masoko ya mazao yake kabla ata ya kuyavuna.

4. Mshirki atapatiwa usimamizi wa [emoji817] katika kipindi chote cha mradi

5. Mshiriki atapatiwa vifaa na vitendea kazi vya ufugaji Kama mizinga ya nyuki kwa mkopo wa muda mrefu (miezi 20)

Namna ya kushiriki
Mshiriki atatakiwa kulipia 30% tu ya gharama za Shamba na mizinga atakayo.hitaji ,Kisha 70% ya Deni atalipia kidogo kidogo ndani ya miezi 20 .na pindi atakapomaliza Deni lake anapewa na hati miliki ya Shamba lake.
Gharama za shamba hekari moja ni 1.2m

Gharama ya mzinga mmoja wa kisasa ambao unavunwa mazao yote ya nyuki 150,000

Hivyo kujua unahitaji mtaji wa kiasi gani chukua gharama ya Shamba + gharama za mizinga (kulingana na idadi unayotaka)

Kuna mahitaji mengine ya vifaa vidogo vidogo Kama vile mitego ya kuvunia chavua,gundi,mavazi ya nyuki n.k. (hivi mshiriki atawajibika kununua)

Kabla ya kushiriki ni vyema kutembelea mradi Bagamoyo ambapo tayari mradi umeanza kufanyika, na hatua ya Sasa mashamba Kati hekari 250 zimebaki hekari zisizopungua 75, hivyo hekari hizi zikiisha tunaingia hatua ya pili ya uanzishwaji wa makundi ya nyuki.

Siku ya kutembelea mradi NI kila JUMAMOSI YA KILA WIKI, ambapo kwa Sasa tumebakiza wiki 3 tu mbele kukamirisha awamu ya kwanza.

Hivyo kwa wale ambao wako interested kujifunza na wanahitaji kushiriki katika mradi huu..una fursa ya Jumamosi hii kwenda site Bagamoyo kujifunza na kuchagua Shamba lako kwa ajili ya mradi huu.

Tupigie simu au tutembelee ofsini kwetu barabarani ya igesa road nyuma ya jengo refu la PSSSF Complex, tupigie simu namba
0710-332515
Jumamosi mnawanyima fursa Wasabato.
 
Mbona kimya?
 
Back
Top Bottom