hapo ndipo hata mimi nikawa najiuliza bunge linahusiana vipi na suala hili? Lakini ikanibidi tu niwe kimya kwa maana ni mbishi hatariSio kazi ya Bunge letu tukufu kufuta program yeyote hilo ni jukumu la Vyuo, NACTE na ikibidi wizara husika tu. Rafiki yako anakulisha matango pori tu.
hapo sawa nimekuelewa vyema huenda alifananisha mamboAmechanganya Clinical Assistant(CA) iko kwenye mchakato wa kufutwa iliyofutwa rasmi ni ASSISTANT MEDICAL OFFICER(AMO) yes AMO imefutwa kabisa huu ni mwaka wa pili na vyuo vyote vilivyo kuwa vinatoa hii kozi havipo tena