Je, ni kweli kulisha kuku Ngano ndiyo wanataga sana?

Ili kuku aweze kutaga sana anahitaji vyakula vyenye virutubisho gani? I mean zile nutrients content like protein, au calcium, vitamins zipi?

Ukishajua hilo tuje sasa vyakula gani (either pumba au mtama, au mashudu ) vina hizo elements? Je, ngano inayo? Usiseme ni mambo ya kitaalam sabab umeamua kua mfugaj lazma ujue.
 
Kwaiyo mkuu unakanusha kua si kweli
 
Kwa kuku anayetag hakikisha unamuwekea tangawizi iliyotwangwa nayo inasaidia kumfanya atage
 
Back
Top Bottom