Ili kuku aweze kutaga sana anahitaji vyakula vyenye virutubisho gani? I mean zile nutrients content like protein, au calcium, vitamins zipi?
Ukishajua hilo tuje sasa vyakula gani (either pumba au mtama, au mashudu ) vina hizo elements? Je, ngano inayo? Usiseme ni mambo ya kitaalam sabab umeamua kua mfugaj lazma ujue.