Je, ni kweli kuna dawa ya kuwa mrefu wa mwili? ( Tall )

ejasson

Member
Joined
Oct 26, 2018
Posts
19
Reaction score
13
Habari wana JamiiForums.

Eti ni kwel mtu akiwa mnene sanaa na akaja kupungua uzito kwa haraka kama alikuwa mfupi? Huongezeka urefu je ni kwel au ni uwongo?

Kama ni kwel nianzee kula ovyo ninenepeee kisawa sawa....kisha nikonde niwe mrefuu zaidiii๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š
 
Dunia hakuna mnene wala mwembamba ila kuna mfupi na mrefu
 
Unene au wembamba ni juhudi yako binafsi

Ila

Urefu au ufupi

Ni kazi ya Mungu mwenyewe
Na hakukosea kuumba hivyo
 
Unaweza kukonda au kunenepa Ila urefu ukishafika 22 yrs some people up to 25yrs

Ni ngumu kulefuka kuliko ngamia kupenya kwenye tundu la....
 
Literary akipungua unene ataonekana kama ameongezeka urefu ila basically hakuna kimo kilichoongezeka, ni kwmb vibonge wengi wanaonekana kama wafupi
 
Hahahah mkuu anza kufanya Comedy tu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ !!! Ufupi ni ufupi tu hamna namna ingine
 
Pole sana "ANDUNJE"

O'level Kuna rafiki yetu tulikuwa tunamuita andunje na alikua ANDUNJE kweri kweri...

Na alikua anang'ang'ania kulala deka za juu tuu...ukimzingua huo ugomvi hauishi mpaka hostel master akuje...
Narudia tena

pole sana ANDUNJE....
 
Urefu au Ufupi ni majaaliwa ya Mungu,
Ila Unene au Wembamba ndio Unaweza uka control, napo ni sometimes pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ