Lastmost
JF-Expert Member
- Jan 30, 2022
- 802
- 919
Leo Kuna mwalimu nimekutana naye akanieleza kuhusu kalenda mpya ya kufundishia shule za msingi na za sekondari.
Anadai kuwa waalimu Tanzania nzima watafundisha kitu cha kufanana ktk wiki na mwezi. Yaani hakuna mwl kuwa mbele au nyuma ya wengine, iwe private au serikalini. Mada moja itafundishwa kwa wote kwa wakati mmoja.
Mnalionaje hili wadau?