truegooner
JF-Expert Member
- Apr 23, 2014
- 779
- 338
Habari zenu ndugu.
Mimi nataka kujua hiki kitu. Nimesikia wadada wawili wakiongea hapa nikaapo (nimepanga chumba) kuwa mmoja wa marafiki wa hao madada alifungaga mimba isikue.
Yaani alipokuwa mjamzito wa miezi sita alienda kwa mganga wa kienyeji akaifunga mimba isikue. Kwa maelezo yao mimba ilizuiwa kwa muda wa miezi miwili na matokeo yake huyo dada alikuja kujifungua mtoto baada ya kukaa tumboni kwa miezi kumi na moja.
Maana yake baada ya kuifunga kwa muda wa miezi miwili, alienda kuifungua. Sababu ya kuifunga ilikuwa ni kwamba alikuwa hajajiandaa kuwa mjamzito, na baada ya harakati za kujaribu kuitoa, ilishindikana.
Mtoto alizaliwa kwa njia ya operation kwa maelezo kuwa mama alikuwa na kitu wanaita nyonga (kama niko sahihi) ilikuwa ndogo.
Bahati mbaya mtoto alifariki baada ya miezi kama tisa hizi sababu ikidaiwa ni kuwa mtoto alikuwa na matatizo ya kifua (alikunywa maji 'machafu' wakati wa kuzaliwa).
Swali langu kwa yeyote mwenye uelewa au kwa Dr. Hii kitu inawezekana?