Habari wana jm nimepata tetesi kuwa eti serikali imepandisha madaraja ya waalimu shahada kuanzana E,stashaha kuanza na D, na cheti C, jaman kuna ukweli hapa?
Habari wana jm nimepata tetesi kuwa eti serikali imepandisha madaraja ya waalimu shahada kuanzana E,stashaha kuanza na D, na cheti C, jaman kuna ukweli hapa?
Tatizo ni kuwa bajeti ya mwaka huu inaenda ANTI CLOCKWISE! Na hii itazaa tetesi nyingi sana. Tusubiri tuone maana mpaka bajeti yote inasomwa mwezi tutakuwa hoi kwa kuzidiwa na tetesi!
Ninachofahamu ni upandishaji wa madaraja ndo unaoendelea ingawa kwa baadhi ya wilaya upandishaji huo umegubikwa na mizengwe mingi; kwani walioajiriwa miaka ya nyuma wanaachwa na kupandishwa walioajiriwa miaka ya hivi karibuni. Pia kuna suala la mishahara waajiriwa wa hivi karibuni kulipwa zaidi kuliko wale waliotangulia kuajiriwa. Source-rafiki yangu ambaye ni mwl.