Je ni kweli kuna VPN zinapunguza ulaji wa bundle la Data

Ww kama sio tapeli ni mjinga, unasema kabisa na mtandao wakati hao tigo na IT wao wapo humu.

Hapo watakufuata inbox wataangalia hizo njia unazotumia na wataziba upenyo, huna haja ya ku share.
Mtu ambae hawezi kutunza Siri hata siku Moja hawezi kufanikiwa kwenye jambo lolote yy hajui kama hyo njia anayotumia kupata bundle ni wizi halafu anaji tangaza
 
Ww kama sio tapeli ni mjinga, unasema kabisa na mtandao wakati hao tigo na IT wao wapo humu.

Hapo watakufuata inbox wataangalia hizo njia unazotumia na wataziba upenyo, huna haja ya ku share.
Mkuu wao wenyewe internwt wananunua usijali siyo siri kubwa acha kua paranoid
 
Back
Top Bottom