Je, ni kweli kuna Waziri anaugua Corona inafanywa Siri? Tunaficha nini? Hala hala kisa cha mficha maradhi! Truth & Transparency the only way out!

Lengo la Pascal sio KUTANGAZWA KWA HUYO MUHUSIKA! Hapa tatizo ni huyo muhusika kukataa kufuata taratibu za kutoambukiza wenzie. Mbona thread hii inajieleza wazi! Kakataa kuvaa mask, kakataa kwenda sehemu maalum iliyotengwa nk.
Zikifumbiwa macho tabia hizo, tutakwisha! Namshukuru sana mleta thread hii, naamini wahusika watachukua hatua, kwa ajili ya kuwalinda wengine, na maambukizi mapya!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimecheka kama ugonjwa jambo jema vile
.umekomenti kimsisitizo mazee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waziri wa serkali ya mapinduzi .apelekwe karantin na afukuzwe kazi


USSR
Sent using Jamii Forums mobile app
 
kama ni kweli ipo kazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu paschal huwa nakuamini sana ktk uanfishi wako lakini kwa hapa nina maswali mawili kwako naomba majibu ili niendelee kukuamini:-

Umesema waziri huyo amepelekwa hospital hapo akiwa na hali mbaya sana. Kwa kauli hiyo tafsili yake ni kuwa alikuwa mahututi.

1. Je kwa mgonjwa mwenye hali mbaya sana (mahututi) anaweza kuwa na uamuzi wa wapi alazwe?

2. Kwa unavyojua taratibu za hospital, huwa wanamwambia mgonjwa kuwa sasa unapelekwa kulazwa wodi fulani au unahamishiwa hospitali fulani kutokana na maladhi yako?

Majibu tafadhali mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa muono wangu hiyo mishangao miwili hapo juu naona haijakaa sawa, pili naona kama kiasi fulani umemuunga mkono waziri kugoma kuhama! Hata hivyo mgonjwa hajipimi, hupimwa lakini amegomea maelekezo ya madakitari.
 
Sasa ni vema tuambiane ukweli, hili jambo linatisha sana. Jee huyo Kabudi alihudhuria kikao cha majuzi cha baraza LA mawaziri lililo shirikisha manaibu na wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama huko Dodoma?
Kama alihudhuria hatua za tahadhari zimechukuliwa kwa wote walio hudhuria? Maana tunaona wengine kwenye vijiwe vya kahawa wana piga comedy kama kawaida
 
Soma Habari yote aliambiwa anapelekwa Hospital iliyotengwa kwa ajili ya watu wenye maambukizi ya COVID-19 halikataa kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo wa Zanzibar anafahamika. Lakini uwezekanomkubwa ni zaidi ya huyo. Bahati mbaya ugonjwa haufichiki.

Naona sasa viongozi wanaleta mtazamo mbaya kwa mgonjwa wa ugonjwa huu. Kama viongozi wanaficha, na raia watafuata mfano toka kwa viongozi wao. Na hiyo itakuwa ni kushindwa kwa hali ya juu kukabiliana na huu ugonjwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…