Je, ni kweli kuna Waziri anaugua Corona inafanywa Siri? Tunaficha nini? Hala hala kisa cha mficha maradhi! Truth & Transparency the only way out!

Mkuu, hiki ndicho kilichosababisha wewe kwenye Uzi Fulani humu kutanabaisha kuwa "una maslahi Fulani binafsi na Zanzibar"?.. Hongera sana
 
Mkuu, hiki ndicho kilichosababisha wewe kwenye Uzi Fulani humu kutanabaisha kuwa "una maslahi Fulani binafsi na Zanzibar"?.. Hongera sana
Yes, ni maslahi binafsi ya ki heshma, ila makaka watu wakaja juukama moto wa kifuu, utadhani hawataki shemeji!.
P
 
Wandugu, hapa nafanya tuu follow up ya Corona nikipitia kujikumbusha niliwahi kuandika nini au kusema nini kuhusu Corona na hiki kinacho endelea sasa. Corona is real tusifanye masihara, tujilinde kwa kufuata ushauri wa kitaalamu.

Kila Jumamosi asubuhi kuanzia saa 1:30 hadi saa 3:00 asubuhi , Star TV, huwa ninakuwa live kwenye kipindi cha TV cha Jicho Letu Ndani ya Habari ambacho huwa kinatangwa live na Star TV kila siku za Jumamosi asubuhi, kwa Jumamosi ya kesho, mgeni wetu ni Waziri wa Habari, Dr. Harrison Mwakyembe tukijadili kuhusu athari za Corona kwenye sekta ya Habari, nini kifanyike.

Ukipata nafasi karibu utufuatilie.

P
 
May 13, 2020
Dar es Salaam,Tanzania

Msemaji Mkuu wa Serikali kuhusu 'kufurika kwa wagonjwa wa Corona' ktk hospitali za DSM na angalizo la Ubalozi wa Marekani kuhusu corona Tanzania . Na upimaji wa lazima unaofanywa kwa waTanzania wakitaka kuingia ktk nchi za Zambia, Uganda, Rwanda na Kenya ambazo ni nchi jirani zinazoizunguka Tanzania.


Source : ABC Habari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…