Je, ni kweli kuna Waziri anaugua Corona inafanywa Siri? Tunaficha nini? Hala hala kisa cha mficha maradhi! Truth & Transparency the only way out!

Reads like fiction..., but may actually be true!
Pascal Mayalla nakushauri futa huu uzi. Kama ulipokonyoka ktk line ya akina Kabendera hapa utanasa. Ni ushauri tuu maana umetafutiwa target muda mrefu.

Mbona hatujaona akitembelewa, kujuliwa hali?

Ni swali linaeleweka kabisa, usitie shaka kuwa sijui niandikacho!
 
Eeenh, mimi nawaza tu kwa sauti ya 'keyboard'.

Hivi ikitokea hao wahudumu hospitalini hapo, mmoja wao au zaidi wakapata maambukizi na kupoteza maisha...!

Kuna watu nchi hii kweli wapo juu ya sheria.

Na je, mhudumu akikataa kumhudumia mgonjwa kama huyo, anayekataa kufuata taratibu zilizopo kwa kujiona yeye ni zaidi ya binaadam wengine, mfanya kazi huyo atalaumiwa, mbali ya kuadhibiwa kwa kitendo cha kukataa kumhudumia mgonjwa hatarishi wa maisha ya wanaomhudumia. Mgonjwa muuaji!

Kwa maoni yangu, wafanya kazi hawa wana kila haki ya kumnyima huduma mgonjwa huyu!

Hata viapo vyao vitawalinda.
 

Zanzibar wako very objective kwenye reporting ya huu ugonjwa.

North Korea na sisi tofauti hamna.

Ina kera sana kuwa mnayaweka maisha ya watu wasio na hatia hatarini kwa kutanguliza maslahi yenu mbele.

Kwamba ni sababu za kiuchumi ni utalii utaharibika, you must be joking.

Ndiyo maana mnatuletea hadithi za uchaguzi mkuu.

Fumbo fumbieni wajinga.
 
Yy anadeal na wapinzani tu mbna mpk nw angesharopoka
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante Sana Kwa taarifa. Viongozi Weng wa kiafrika ni ignorant na selfish. Ingekua North Korea huyu angewawa
Na familia yake ingepelekwa kwenye labor camps Kwa penalties na milele kutoshiriki uongozi katika nchi. Msaliti hafai ishi.
I hope si kweli Bali ni tetesi tu. Na Kama ni prof basi huyo atakua ni jalala hasa.
 
Baada ya kuona neno.....KAGOMA KUVAA MASK NA KUTENGWA..... AMETOKA ITALY NA UINGEREZA.... Hiii taarifa imenipa mashaka juu ya weledi au ukweli wake.

Imekaa kikuzua taharuki zaidi
 
Nadhani hatuna madaktari wenye weledi.
Sindano wanazo
Drip wanazo
Dawa za usingizi zipo
Kwanini asingeamka akajikuta yuko Mloganzila au sehwmu zilizotengwa? Tena in isolated room akiwa na nurses na madaktari wenye geared uniform tu

Pili kwanini asiwe kwenye watu wenye kesi ya kujibu kwa kuamua kusambaza ugonjwa kwa makusudi ikichukuliwa kama mauaji au uhujumu uchumi na utakatishaji wa pesa

Nadhani kama ni hapa Tz uncle anamsubiri tu amtumbue kwa matumizi mabaya ya madaraka

Apone haraka. Aendelee na majukumu ya kujenga nchi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…