Je ni kweli kuoga maziwa kunaleta afya ya ngozi?

Je ni kweli kuoga maziwa kunaleta afya ya ngozi?

Damaso

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2018
Posts
3,978
Reaction score
6,739
Habari, nimepata taarifa kuwa mtu akioga maziwa fresh kutamsaidia sana kwenye afya yake ya ngozi. Maziwa ya wanyama kama Punda, Farasi, Ngamia, Mbuzi na Ng'ombe ni tiba nzuri ya ngozi.​

1723185636260.png


Pia kuna sehemu nimesoma kuwa Malkia wa Misri, Cleopatra alikuwa na kawaida ya kuoga maziwa ili apate ngozi yenye afya. Je ni kweli kuhusu jambo hili? Na maziwa yana kitu gani cha upekee mpaka yawe sehemu ya kutumika katika kuimarisha ngozi?​
 
Wanawake mtatuua.

Kwahyo vizinga vya maziwa ya kuogea vinakuja hili likithibitishwa?
 
Kipindi cha Cleapatra hakukuwa na teknolojia nzuri ya kulainisha ngozi au kukuzia nywele, wakitumia sana vitu vya asili kama vile majani ya mwituni pamoja na products za wanyama....kwa sasa huitaji tena kuoga maziwa, tafuta nutrients za ngozi the apply...haya mambo ya kuoga maziwa na mpaka uje kuona matokeo its almost about 2 to 3 years ndipo utaona mabadiliko ya mwili,tena uwe unaoga kwa wiki sio chini ya mara 3.
Za kuambiwa changanya na za kwako pia uwe unapitia pitia vitabu na platform zingine kuongeza knowledge os things.
 
Habari Jamii Check nimepata taarifa kuwa mtu akioga maziwa fresh kutamsaidia sana kwenye afya yake ya ngozi. Maziwa ya wanyama kama Punda, Farasi, Ngamia, Mbuzi na Ng'ombe ni tiba nzuri ya ngozi.​

View attachment 3065095

Pia kuna sehemu nimesoma kuwa Malkia wa Misri, Cleopatra alikuwa na kawaida ya kuoga maziwa ili apate ngozi yenye afya. Je ni kweli kuhusu jambo hili? Na maziwa yana kitu gani cha upekee mpaka yawe sehemu ya kutumika katika kuimarisha ngozi?​
Kuna mbinu nyingi za kuongeza demand ya bidhaa, kuna mwaka jamaa alichelewa kubadili noti nyingi za shilingi mia, akabuni mbinu kwamba noti hizo ni deal kubwa, watu wakaanza kuzitafuta usiku na mchana, yeye akawa anazipenyeza sokoni kimtindo mpaka zikaisha

Hata hii post huenda inahusu kuongeza soko la maziwa watu watanunua na kuoga wataishia kunuka kimasaimasai
 
Maziwa yapi,, ya Ng'ombe, binadamu, popo, mbuzi, ngamia, sokwe au???
 
Back
Top Bottom