Kuna mbinu nyingi za kuongeza demand ya bidhaa, kuna mwaka jamaa alichelewa kubadili noti nyingi za shilingi mia, akabuni mbinu kwamba noti hizo ni deal kubwa, watu wakaanza kuzitafuta usiku na mchana, yeye akawa anazipenyeza sokoni kimtindo mpaka zikaishaHabari Jamii Check nimepata taarifa kuwa mtu akioga maziwa fresh kutamsaidia sana kwenye afya yake ya ngozi. Maziwa ya wanyama kama Punda, Farasi, Ngamia, Mbuzi na Ng'ombe ni tiba nzuri ya ngozi.
View attachment 3065095
Pia kuna sehemu nimesoma kuwa Malkia wa Misri, Cleopatra alikuwa na kawaida ya kuoga maziwa ili apate ngozi yenye afya. Je ni kweli kuhusu jambo hili? Na maziwa yana kitu gani cha upekee mpaka yawe sehemu ya kutumika katika kuimarisha ngozi?
Inasemekana peponi ni kuogea maziwa...